BioPsychologist
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 724
- 1,014
- Thread starter
- #21
Usimtishe bhana, kama una maelezo ya kitaalam toa sasa mkuu unatisha utafikiri police anamwambia mtuhumiwa.Ninarudia tena Mkuu. Msitoe mimba hiyo
Usimtishe bhana, kama una maelezo ya kitaalam toa sasa mkuu unatisha utafikiri police anamwambia mtuhumiwa.Ninarudia tena Mkuu. Msitoe mimba hiyo
Watamuua Rais wa 2070 watuachie madikteta uchwara. Please mama na mtoto wapate lishe bora.Ukiwa unamkaza demu,kuna ule ute wakwanza unaotoka kwenye mashine..ule ute huwa pia unabeba mbegu naivo kutungisha mimba ni 100%
Unakuja kukojoa nje ,lkn tayari umeshapiga bao...
Yaan adi mwezi bado hakijawa kiumbeNavojuwa mimi mimba ya week 2 kwa mahesabu yao inakuwa bado damu kabisa au sio wataalamu ?? Means pia yawezekana akapata njia nyepesi na salama ku release hizo damu ambazo hazijakuwa kiumbe and it is not complicated in such....!! Kama ambae mimba ina miezi kadhaa. Au hii imekaaje !
Hospital yoyote wakitoa huduma ya mama na mtoto hawakosi kutoa elimu ya uzazi wa mpango hata iwe private kwa hawa gyneUzazi wa mpango huwa wanashauri wapi?
Binafsi sijawahi kuupata
Jamaa aende hospital akaongee na Wataalam wa hivyo vitu, angekuwa amejifungua kawaida. Ningekushauri muilee hiyo mimba
Hospital yoyote wakitoa huduma ya mama na mtoto hawakosi kutoa elimu ya uzazi wa mpango hata iwe private kwa hawa gyno
Issue siyo kawaidaHizo vitu ni kawaida Sana kwenye ndoa.Yaan ile mtu amejifungua unashangaa hajawahi ina siku zake mara tayari way tena...
Ni kweli ni risk kwa mama lakini pia kuchokonoa tumboni kwa Sasa naona ni hatari zaidi maana kidonda bado kipya.Hatar ya maambukiziIssue siyo kawaida
Issue ni usalama wa mama
Kisu miezi mitatu sijui Kama ni salama kwa mama
Kalenda inapindua meza kibabe Sana. Njia za mabeberu hazikwepekeki aiseeduuh alafu mama alifanyiwa operation sema siku nyingine tumieni njia za uzazi wa mpangooo mkuu achene kujidai mnaweza kwenda na kalenda sijui mtaumbuka. huyo mama hata kidonda cha operation hakijapona vizuri n ahuyo mtoto wa miezi 3 ndo ashamdhoofisha.
Inatakiwa kutolewa papo kwa papo na hata kwenye clinic kipindi Cha ujauzito elimu huyo inatakiwa kutolewa.Sema kama n gvt wakati mwingine Mambo yanakuwa mengi watoa huduma wanafukia tutaSijawahi kupata
Amepima, au wanahisi?Na mimba yenyewe anasema akihesabu tarehe ina week 2 tu kuna njia gan na nyepesi isiyo complicated sana wanaweza tumia
Amepima jana tu na kwa ushuhuda wake wamesex kati ya tarehe 23,24 last month.Amepima, au wanahisi?
Ushauri wako ni nini mkuu ukizingatia ishatokea. !!!!duuh alafu mama alifanyiwa operation sema siku nyingine tumieni njia za uzazi wa mpangooo mkuu achene kujidai mnaweza kwenda na kalenda sijui mtaumbuka. huyo mama hata kidonda cha operation hakijapona vizuri n ahuyo mtoto wa miezi 3 ndo ashamdhoofisha.
Ahsante ,naomba kuuliza hivi alojifungua kwa operation anatakiwa kitaalam akae muda gani ili (normal and suggested period) ndo abebe ujauzito.Hizo vitu ni kawaida Sana kwenye ndoa.Yaan ile mtu amejifungua unashangaa hajawahi ona siku zake mara tayari way tena.
Cha kufanya asitoe ujauzito huo aulee na huyo dogo wa nje ahakikishe anaendelea kunyonya vizuri tu walau Hadi wa tumboni akifikisha mkezi Saba.
Uzuri kama alijifungua kwa kisu ni kuwa siku zikikaribia za huyo aliye tumboni moja kwa moja anaenda kufanyiwa operation.
Mimi si mdau wa kutoa mimba kabisa napenda mno watoto.
Aachane na kuwaza watu watanionaje .mbona wazungu wenyewe wanazaaga jaribu karibu
Inashauriwa walau mwaka mmojaAhsante ,naomba kuuliza hivi alojifungua kwa operation anatakiwa kitaalam akae muda gani ili (normal and suggested period) ndo abebe ujauzito.