Mkesha wa Mwaka Mpya 2019 : Wananchi wamlilia shida Kikwete , yeye asema sasahivi hana hela

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete usiku wa mkesha wa kuupokea Mwaka Mpya 2019 akiwa kijijini kwake Msoga amewaburudisha Wananchi kwa kuwaandalia show ya Wasanii wa Band ya Sikinde pamoja na Wasanii wa kizazi kipya.

Bushoke na Dulla Makabila ambao wametumbuiza bure.

Wanachi wa Msoga wamechukua fursa hiyo ya kukutana na Mstaafu Kikwete kwa kumueleza shida zao na wengine kumsalimia na kumtakia heri ya mwaka mpya
ddsds.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete usiku wa mkesha wa kuupokea Mwaka Mpya 2019 akiwa kijijini kwake Msoga amewaburudisha Wananchi kwa kuwaandalia show ya Wasanii wa Band ya Sikinde pamoja na Wasanii wa kizazi kipya.

Bushoke na Dulla Makabila ambao wametumbuiza bure.

Wanachi wa Msoga wamechukua fursa hiyo ya kukutana na Mstaafu Kikwete kwa kumueleza shida zao na wengine kumsalimia na kumtakia heri ya mwaka mpyaView attachment 982640

Sent using Jamii Forums mobile app
mtu anaejua kuishi na watu sio yule mtesi wetu
 
Jakaya anagalau alifanyizia Maendeleo ya Watu na Vitu. Huyu Ngosha anafanyizia Uchumi wa SGR, Stiglers Gorge, Bombardier, Flayover wakati Raia wake hali Mbaya Mno!
akistahafu ataishi na stiglaz goj yake na ngombe wake usukumani Kwao
 
kikwete anawapenda sana wakwere wenzake... na wao wanampenda pia..

siku yake ya kuondoka duniani ikifika.. msoga itazizima kwa vilio vya kina mama na wingi wa watu msibani
 
Hapa ni school mbili za uchumi zinapamba;

Economic growth verses Economic development
 
Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete usiku wa mkesha wa kuupokea Mwaka Mpya 2019 akiwa kijijini kwake Msoga amewaburudisha Wananchi kwa kuwaandalia show ya Wasanii wa Band ya Sikinde pamoja na Wasanii wa kizazi kipya.

Bushoke na Dulla Makabila ambao wametumbuiza bure.

Wanachi wa Msoga wamechukua fursa hiyo ya kukutana na Mstaafu Kikwete kwa kumueleza shida zao na wengine kumsalimia na kumtakia heri ya mwaka mpyaView attachment 982640

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee wa bata

Jr
 
Back
Top Bottom