Mkesha wa kumuenzi mwalimu club sunciro!

MwafrikaHalisi

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
1,741
510
Ndugu zangu habari zenu. Nimekua nikisikia matangazo kuhusu Mkesha wa kumuenzi Mwalimu ambao kuna vijana wameuandaa na utafanyika Club SUNCIRO pale Sinza. Kinachonitatiza ni kwanini wanamuenzi Hayati Mwl. J. K. Nyerere kwenye night club, kwenye anasa na uasherati. Je ni hivi ndivyo ambavyo Mwalimu angependa tumuenzi? Tafakari.
 
Back
Top Bottom