Mkesha wa Christmas kurushwa moja kwa moja kutoka kanisa la Anglikana Zanzibar

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
1,956
Wadau
Leo tarehe 24 Disemba 2017 kuanzia saa 3 usiku TBC watakuletea matangazo ya moja kwa moja ya mkesha wa Krismas kutoka Kanisa Kuu la Anglikana maeneo ya Mkunazini Zanzibar.
Tafadhali mjulishe mwenzako.
Source: TBC
 
tatizo moja tu hatuangaliagi tbc ccm tv ya chama chakavu ingekuwa nyingine sawa pambaneni tu na hali zeni tunaichukia mno ccm ndo maana kitu chochote kinachohusishwa na ccm tunakichukia mazima
 
Kwa wenyeji wa Zanzibar, hilo kanisa ndilo analohudumu Mchungaji Jaji Mkuu Mstaafu Agustino Ramadhani?
 
Yani mmeshindwa huko kwenu bara mnatufata mji wetu W Waislamu fanyeni mtakavyo fanya Uislamu kamwe hauto rudi nyuma
 
Mnaacha kurusha live vitu wanavyopenda wananchi walio wengi mnarusha vitu mnavyopemda nyie TBC
 
Ungewatagi unaowapenda Mkuu, niumize vidole vyangu kutangaza tbccm?.
Labda niamke na mgao wa makanikia.
 
Wewe ni fala kabisa hujielewi, kiwanja kilipojengwa hilo kanisa la Mkunazini kilitolewa bure na waislamu, tena wale waislamu wenyewe original waarabu siyo wewe mchamba wima jinga kabisa
Mkuu hakuna ulazima wowote wa kumuelimisha huyu bwana kwanjia hii(kumtusi).Ungelimuelewesha kistaarabu tu, naamini angelikuelewa.
 
Mkuu hakuna ulazima wowote wa kumuelimisha huyu bwana kwanjia hii(kumtusi).Ungelimuelewesha kistaarabu tu, naamini angelikuelewa.
Mstaarabu huwa anaeleweshwa kistaarabu, ila jitu jinga kama hilo unampa dozi nene.

Hakuna ustaarabu kwa mtu mpumbavu kama huyo kenge.
 
Back
Top Bottom