Mkesha wa Christmas: Huko Kwenu Umeme Unawaka?

Phd Hewa

JF-Expert Member
Oct 3, 2016
572
466
Ni Mwezi Mmoja Sasa Ruangwa Lindi Umeme Unasumbua zima washa Zimekua Nyingi Mno Leo Japo ni Mkesha wa Christmas Lakini Hapa Mjini Ruangwa Muda Huu ni Giza Totoro Kama Kuwasema Tanesco Tumewasema weeeee..!!! Yani Mpaka Inakera.
Tanesco Tuambieni Tatizo ni Nini Hasa Je kama Malengo ya Nchi yetu Kuwa Nchi ya Viwanda Tutafika Kweli?
 
Kwa mtindo huu hatuwezi kufika. Pole sana
 
Mi hapa nipo church benchi la tatu tu kutoka altare misa ishaanza kitambo na umeme ni wa kumwaga huku kwetu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom