Mkeo ana hamu au la...:mnuse utajua okoa ndoa yako

Asante kwa somo lako ila kwa upande wangu mimi naona body language inajitosheleza kabisa,mkeo akiwa na hamu utaona matendo yake tu,mara akuguse,mara apige story za hayo mambo,mara pumzi imbadilike nk.Nikianza kautaratibu ka kunusana hata nisiposikia harufu nitaishia kutwanga tu.
e h===

makubwa//////// nlikuwa sijui yote haya.
 
na kwa chausiku ambaye kikwapa kinatema full time 4wheel driver itakuwaje?
 
kwa wale ambao pua zao zina kamasi wakati wote wanatumia viashiria gani mbona umependelea upande mmoja:frusty:
 
Mhh!kwakweli ukifikia hatua ya kumnusa naisi na wewe unakua na hamu,na kama una hamu uwezi kumacha lazima kieleweke,akigoma si unamaindi?
 
Wonderfull discussions,

nina swali... Do we feel the same pleasure all the time? Tunafurahia tendo hili na mtu huyohuyo kwa ladha ile ile wakati wote au kuna wakati linapoa na wakati linachangamka sana....? I think hapa ndipo nilikuwa najaribu kusisitiza ... where exactly you can find pleasure...

Kuna rafiki yangu alinihadithia ajali aliyoipata ya kusex na mtu ambaye hakutarajia... alirudi usiku kutoka matembezi na hakuwahi kudhania hata siku moja atamsaliti mkewe... kwa mtizamo wake yeye huyo msichana aliyesex nae hana mvuto kwa kumtizama.. ila alimfungulia mlango na wakati anampisha alisikia hali fulani ambayo hakuweza kuielezea... kilichofuatia alikuja kukishtukia baadae ni nini alichokifanya.. anaapa haikuwa hiyari yake ila alipata hisia za ajabu ambazo hata kwa vipi asingeweza kuzizuia... je hili nalo ni kweli? Hudhani kuwa akili ilikuwa stimulated na something.... scent... ambayo kwa kawaida binadamu tumeishaipoteza ila inatuathiri bila sisi kujua... huhitaji kuinusa na siajabu ukinusa usiitambue ila utakuwa mad tu na some electric pulse start flowing etc.... Mnasemaje
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom