Mkeo ana hamu au la...:mnuse utajua okoa ndoa yako

Profesa

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
905
624
NANI KAKWAMBIA KILA WAKATI MWANAMKE ANA HAMU YA KUFANYA MAPENZI? Binadamu tuseme ukweli... TUMEPOTEZA UWEZO WA KUTAMBUA HAMU NA HALI YA MVUTO WA MAPENZI na inapotokea tunavutiwa inakuwa shida ajali za kufanya mapenzi na secretary housegirl hazipungui bila kujua ni nini kinaendelea....

Maana wanawake hutoa harufu fulani ambayo humuwezesha mwanaume kujua msichana/mwanamke huyu yuko hot na anahitaji kitu... nadhani inasababaisha hata wakati mwingine tusisikie uroda tunaotaka.... UKIMUOTEA MWANAMKE AMBAYE YUKO HOT! Pata picha science ya wanyama... hawagusani mpaka asikie harufu fulani inayomruhusu... mama akiwa mjamzito haguswi... ananyonyesha haguswi... hajisikiii haguswi... ila akiwa na hamu tu ana kazi maana midume yoooote inataka kuweka mambo sawa.... Hebu tujaribu kutafakari hiii tukiirekebisha haitaokoa ndoa zetu kweli? Unagundua mama yuko hot na mama hakusumbui anapokuwa hayuko hot... maana wamama wengine wanataka tu ugonge hata kama hawana hamu kisa wanahofia usije ukaenda nje matokeo unakula cha baridi hakijapashwa moto inakuwaje hapo

Amini usiamini hakuna viuno wala mabega au staili gani sijui wanavyosema wenyewe... saizi au pumzi... muhimu ni hisia tu, inaweza kuwa sekunde na inaweza kuwa masaa na ikawa fantastiki....

Ila tusisahau heat ya mwanamke hubadilika kutokana na mauzi au adha au furaha hivyo lazima turuhusu natural scent and isntinct to function ili ukikamua unapata mazimum satisfaction....

Usilazimishie utaharibu maana isipokuwa satisfactory inaweza kukaa kichwani muda mrefu ambayo sio muzuri ndo unakuta wengine wanaanza kuvutia hisia mbali za fulani alivyomfurahisha ndo apate bao haipendezi
 
Mh.....kaazi kweli kweli
Haya Mwana mie na nijiudi nilojifukiza..........ndo mana sipatiwi!!

Kwa herini
 
Hisia za harufu zafaa kufuatwa na viumbe kama wanyama na mimea isiyoongea.kwa binadamu njia za mawasiliano mbadala ni nyingi tu wengine wanaziita body language
 
Sasa we kazi yako kunusa chupi za wanawake si utaishia kuugua mafua ha ha ha
 
Desidiii.... Nimekusoma...

Najaribu Kushare Sexiology hope this provide a usefull challenge for sexual life.... na nakumbuka kuna thread humu ndani ilikuwa inazungumzia uhusiano na Housegirl na Baba nadhani hii theory yangu inaweza kuapply Mwanaume anafika mahali hawezi kuresist because the nature is in its course and... the right scent (you may not recognise it but it will run you nut) I tell you if you survive you must have health problems

Mwana Jamii one perfumes some of them can have an artificial scent that can triger the same psychological effect just as the natural one, you simply need to identify which perfume once you wear your man or men you meet goes mad... and he just cant wait to have you
 
Coscated please sugest... otherwise utakuwa subjective
 
I dont buy this sexiology Profesa!

Katika wanyama (mammal) wote alioumba Mungu wote hujamiana kwa reproduction purpose ndio maana wanasubiri 'ke' awe kwenye heat period. Harufu ndio inawaongoza!
Ila katika hawa wanyama ni wawili tu ndio hujamiana for reproduction and for pleasure. Wanyama hawa ni binadamu na pomboo (dolphin).
Man and woman can make love na wasipate mtoto lakini simba dume akimpanda jike ni kwa ajili ya mimba.
 
Dolphin Reproduction and sexuality

Dolphin copulation http://en.wikipedia.org/wiki/Copulationhappens belly to belly; though many species engage in lengthy foreplayhttp://en.wikipedia.org/wiki/Foreplay, the actual act is usually brief, but may be repeated several times within a short time span.

They usually become sexually active at a young age, even before reaching sexual maturityhttp://en.wikipedia.org/wiki/Sexual_maturity.

Dolphins are known to have sex for reasons other than reproduction, sometimes also engaging in homosexual behaviorhttp://en.wikipedia.org/wiki/Homosexual_behavior_in_animals.

Various species sometimes engage in sexual behavior including copulation with other dolphin species.
Sexual encounters may be violent, with male dolphins sometimes showing aggressive behavior towards both females and other males. Occasionally, dolphins behave sexually towards other animals, including humans.
http://en.wikipedia.org/wiki/Dolphin#cite_note-31
 
hao wanyama wanatiana kwa ajili ya watoto na siyo starehe, sisi binadamu tunatiana kama sitarehe sasa sitarehe haina muda ukiwa na uwezi kila saa unapata, thus y wengine wanaenda chukua changu hauitaji kunasu sijui nn. we unaweza msubiria changudoa awe kmye hit? si atakufa njaa!
 
Hahaaaaa!!
Umenikumbusha mbali sana!! Siku ya mwaka mpya!! Nakumbuka siku hiyo mume wangu alionyesha kama vile anataka kuniendea chumvi halafu akaahirisha ghafla. Mi labda nilidhani kuwa kakinai lakini baada ya maelezo ya profesa naanza kuhisi labda mume wangu alikuwa ananinusa nini?

NANI KAKWAMBIA KILA WAKATI MWANAMKE ANA HAMU YA KUFANYA MAPENZI? Binadamu tuseme ukweli... TUMEPOTEZA UWEZO WA KUTAMBUA HAMU NA HALI YA MVUTO WA MAPENZI na inapotokea tunavutiwa inakuwa shida ajali za kufanya mapenzi na secretary housegirl hazipungui bila kujua ni nini kinaendelea....

Maana wanawake hutoa harufu fulani ambayo humuwezesha mwanaume kujua msichana/mwanamke huyu yuko hot na anahitaji kitu... nadhani inasababaisha hata wakati mwingine tusisikie uroda tunaotaka.... UKIMUOTEA MWANAMKE AMBAYE YUKO HOT! Pata picha science ya wanyama... hawagusani mpaka asikie harufu fulani inayomruhusu... mama akiwa mjamzito haguswi... ananyonyesha haguswi... hajisikiii haguswi... ila akiwa na hamu tu ana kazi maana midume yoooote inataka kuweka mambo sawa.... Hebu tujaribu kutafakari hiii tukiirekebisha haitaokoa ndoa zetu kweli? Unagundua mama yuko hot na mama hakusumbui anapokuwa hayuko hot... maana wamama wengine wanataka tu ugonge hata kama hawana hamu kisa wanahofia usije ukaenda nje matokeo unakula cha baridi hakijapashwa moto inakuwaje hapo

Amini usiamini hakuna viuno wala mabega au staili gani sijui wanavyosema wenyewe... saizi au pumzi... muhimu ni hisia tu, inaweza kuwa sekunde na inaweza kuwa masaa na ikawa fantastiki....

Ila tusisahau heat ya mwanamke hubadilika kutokana na mauzi au adha au furaha hivyo lazima turuhusu natural scent and isntinct to function ili ukikamua unapata mazimum satisfaction....

Usilazimishie utaharibu maana isipokuwa satisfactory inaweza kukaa kichwani muda mrefu ambayo sio muzuri ndo unakuta wengine wanaanza kuvutia hisia mbali za fulani alivyomfurahisha ndo apate bao haipendezi
 
Hahaaaaa!!
Umenikumbusha mbali sana!! Siku ya mwaka mpya!! Nakumbuka siku hiyo mume wangu alionyesha kama vile anataka kuniendea chumvi halafu akaahirisha ghafla. Mi labda nilidhani kuwa kakinai lakini baada ya maelezo ya profesa naanza kuhisi labda mume wangu alikuwa ananinusa nini?

muulize labda alikuta pananuka
 
hao wanyama wanatiana kwa ajili ya watoto na siyo starehe, sisi binadamu tunatiana kama sitarehe sasa sitarehe haina muda ukiwa na uwezi kila saa unapata, thus y wengine wanaenda chukua changu hauitaji kunasu sijui nn. we unaweza msubiria changudoa awe kmye hit? si atakufa njaa!

Duh kazi kwelikweli
 
Ukifikia hatua ya kumnusa uje hapo tayari mpo kwenye hatua ya kufanya au kukaribia kufanya. Hiyo science inaweza kuwa ya kweli na ya kufaa lakini utekelezaji wake ni tatizo. Maana mpaka unaipata hiyo harufu, mtakuwa mko mbali sanaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Asante kwa somo lako ila kwa upande wangu mimi naona body language inajitosheleza kabisa,mkeo akiwa na hamu utaona matendo yake tu,mara akuguse,mara apige story za hayo mambo,mara pumzi imbadilike nk.Nikianza kautaratibu ka kunusana hata nisiposikia harufu nitaishia kutwanga tu.
 
Back
Top Bottom