Mkeo akikwambia jambo hili usimlazimishe kabisa

Mke : Hun kuna jambo muhimu sana nataka nikwambie .



Mume : Jambo gani tena mama watoto.

Mke : Au basi tuache tu


DONT PUSH HER TO TELL YOU. YOU KNOW THE REASON?


NITATOA MAJIBU ZIKIFIKA LIKE MIA NNE


Kwa hiyo umekuja kutafuta likes humu na siyo kuelimisha wasomaji? Sikupi lik yangu kabisaaaa......
 
Hahahaa. Ila ndio msikizage kwanza mjue hayo majambo yetu ila sio kukwambia tu kwamba nina jambo basi ushakunja sura hapo kuna haja ya kuendelea kweli jamaani.
Ndio naweza tega attention kwako ila inategemea tupo kipindi kipi mfano ww upo serious na madeni ya vikoba unanipiga nayeo fimbo kumbe unataka hela ya iphone na unajua kabisa tunaujenzi kwann nisikusepe mama japo penzi tamu kuliko utamu wenyewe
 
akisema hivyo jibu ni "Ok saw ila wakati mwingine usisite kuniambia"

Ukilazimisha akuambie, asilimia 99.9% huwa wanadanganya, wanasema kitu kingine kabisa. Na hiyo asilimia 0.1% utakachoambiwa unaweza juta kukifahamu
 
Back
Top Bottom