Mkenya mwenye diploma anaajiri mtanzania mwenye degree au masters...hii imekaaje

bigmukolo

JF-Expert Member
Mar 6, 2012
597
2,225
hii ni changamoto kubwa sana niliyokutana nayo,imenisikitisha sana mkenya anakuja bongo af anaanzisha instution ya kutoa elimu ya ujasiriamali hana mtaji wala nini anapewa kachumba kamoja af zile application fees anakuja kulipia hako kachumba af ada za wanafunzi anatumia kulipia mishahara watz wenye vidigrii na masters,,,,huu si ni ujinga kabisa inamaanisha watz wanasubiri kuajiriwa tu? hata kwa vitu ambavyo wanaweza kuajiajiri...............HII NI HATARI CHUKUA HATUA
 
"HII NI HATARI CHUKUA HATUA" sasa mkenya akijiajiri mimi nichukue hatua gani? yeye anatoa elimu ya ujasiriamali sasa kuna ubaya gani kwa sisi waTanzania? unataka mimi niache kazi ya udaktari au niache kusoma ili nikawe kama mkenya mjasiriamali ili iweje,wote tukiwa wajasiriamali nani atakuwa rubani nani mkulima nani mbunge? mwacheni atafute maisha yake,wao wafungue hivyo vibanda kwetu sisi tukafungue makampuni kwao.
 
acha wivu wa kijinga...hiyo elimu anawapa wa kenya au wa tz?kwani ukiwa na dip au cert hauruhusiwi kuajiri mtu mwenye degree?use your common sense meeeeeen!
 
Mkuu mleta mada, kama jamaa amefuata taratibu zote, wafanyakazi wameridhika, na ukizingatia anasaidia watanzania, hakuna shida hapo mkuu.Ngoja watu wachakarike na maisha
 
hii ni changamoto kubwa sana niliyokutana nayo,imenisikitisha sana mkenya anakuja bongo af anaanzisha instution ya kutoa elimu ya ujasiriamali hana mtaji wala nini anapewa kachumba kamoja af zile application fees anakuja kulipia hako kachumba af ada za wanafunzi anatumia kulipia mishahara watz wenye vidigrii na masters,,,,huu si ni ujinga kabisa inamaanisha watz wanasubiri kuajiriwa tu? hata kwa vitu ambavyo wanaweza kuajiajiri...............HII NI HATARI CHUKUA HATUA

Apple ( Steve Job college drop out ameajiri wasomi wangapi kibao ) Facebook founders ( college drop out ) Bill Gates ( college drop out ,Oprah ( college degree kamaliza baada yakuwa billionaire)so usiwe so insecure .kuwa na degree sio guarantee ya kuwa successful .Peter Jennings ( high school drop out na alikuwa evening anchor na editor ABC .wengi tuuu,
 
Sometimes I am convinced if you don't read and regurgitate on the readings the industrial revolution has to happen all over again. Possibly the invention of the wheel too although that one is close to stretching it.
 
  1. kwani kuna qualification limit ya kuwa mwajiri?
  2. kwani hao ma-graduate aliowaajili wanashindwaje kubuni miradi kama alivyofanya huyo Mkenya?
 
hii ni changamoto kubwa sana niliyokutana nayo,imenisikitisha sana mkenya anakuja bongo af anaanzisha instution ya kutoa elimu ya ujasiriamali hana mtaji wala nini anapewa kachumba kamoja af zile application fees anakuja kulipia hako kachumba af ada za wanafunzi anatumia kulipia mishahara watz wenye vidigrii na masters,,,,huu si ni ujinga kabisa inamaanisha watz wanasubiri kuajiriwa tu? hata kwa vitu ambavyo wanaweza kuajiajiri...............HII NI HATARI CHUKUA HATUA

Akili zetu wameharibu wanasiasa, mtu anachukua milioni 10 kwa mwezi halafu wewe uanze kudundukiza elfu 10 kwa
ujasiri amali, haiwezekani!
Kila mmoja anafikiria kupata chance ya kuvuta mshiko mrefu !!
 
Haina tatizo! Mbona kuna mtanzani (standard VII) mmiliki wa shule ya msingi ? Nimeona habari maalum juzi kati.
 
Sometimes I am convinced if you don't read and regurgitate on the readings the industrial revolution has to happen all over again. Possibly the invention of the wheel too although that one is close to stretching it.
cop out through obfuscation
 
hii ni changamoto kubwa sana niliyokutana nayo,imenisikitisha sana mkenya anakuja bongo af anaanzisha instution ya kutoa elimu ya ujasiriamali hana mtaji wala nini anapewa kachumba kamoja af zile application fees anakuja kulipia hako kachumba af ada za wanafunzi anatumia kulipia mishahara watz wenye vidigrii na masters,,,,huu si ni ujinga kabisa inamaanisha watz wanasubiri kuajiriwa tu? hata kwa vitu ambavyo wanaweza kuajiajiri...............HII NI HATARI CHUKUA HATUA
wakulaumu ni sisi wala sio mkenya

wewe ukienda kenya ukakuta mifala imelala tu inakata viuno na kulalama na kushindia kuchangiana pesa za sherehe, ukaanza kutumia ujinga wao na kuanza kuwaajiri tukulaumu??

we are the ones to blame, hatuna kazi ila tumeacha malofa kutoka jirani wachukue kazi tele zilizopo
 
we unashangaa mtu mwenye diploma kumuajiri mtu mwenye degree mbona wapo watu walioishia standard seven na wameajiri watu wenye degree,jipange jamaa
 
bakresa hakumaliza hata shule ya msingi ila ameajili hadi maprofesa, mi mwenyewe mwajili wangu ni drs la saba ingawa nina shahada. Tunachoangalia ni maslahi tuyapatayo na si kiwango cha elom cha mwajili
 
Ivi nikiwa namahela ya ujambazi na sijasoma, ninamiradi ya kukulipa mapmilion ww mwenye phd, utakakataa kuajiriwa kusimamia moja ya kampuni yangu?
NB: Ufisadi nao ni ujambazi katika magnitude ileile.
 
Wabongo tunaabudu vyeti kuliko maarifa tuliyoyapata kutoka kwenye hivyo vyeti.
Elimu sio makaratasi, ni matumizi ya kile ulichokipata kwenye makaratasi kuibadilisha jamii inayokuzunguka. Tuamke jamani.
 
mie kila nionapo uzi wa kenya nawapa big-up mbaya, coz its tru they r far away! LET THEM B!
 
Back
Top Bottom