From Sir With Love
JF-Expert Member
- Sep 13, 2010
- 2,076
- 3,797
Hakika nimeyajua mengi. Wote tumefunguka macho.Sasa mkuu ulikuwa unajua hayo!? yakielezwa mambo namna yanavyokwenda mnasema kuna chuki binafsi, yule jamaa hapo juu sikupenda kumtolea maneno makali ila kanikera mno kwa Kejeli zake,
Naamini siku zote hoja inazimwa kwa hoja, sasa watu wanaeleza matatizo ya uongozi wa shule yeye analeta kejeli
Alete kanusho ya haya yaliyoripotiwa kama yeye kweli ni mtetezi wake
Mwendo tumeuanza vibaya lakini hatimaye tumekubaliana shule ina matatizo.