Mkenya aliyesafiri kutokea Tanzania akutwa na Corona,wengine wanne wathibitishwa.Kifo kimoja chatangazwa

Kamwe sijawahi kupingana na takwimu za ummy tatizo wewe unapelekeshwa na hawa wanaopingana na huyu waziri wetu mpaka huelewi ushike lipi uache lipi
kama umemskliza waziri wako wa afya leo, na kama una uwezo wa kudadavua mambo, basi nitakushangaa ukiandika hicho ulichokiandika hapo.
 
Corona virus imefanya sasa niamini kuwa Tanzania ndio nchi yenye intelligencia konki,
Maana huu ugonjwa dalili zake zote watz wengi walianza kupata toka mwezi December mwaka Jana na watu walikua wanapona wenyewe wakihisi ni Mafua na homa za kawaida.


Kwa wale walokua wanaenda hospital kupimwa wengi waliambiwa tu wana blood infection au hawakuti kitu but tukawa tunapona kwa dawa za kawaida za Mafua na homa. Kifupi nahisi serikali yetu imejua na inajua nn inafanya.

Wakenya endeleeni kuiga wazungu kama vile hamjui hao watu magonjwa yanayowatisha ni Mafua na malaria. Kujifananisha nyie na wazungu ndio mnapokosea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nna wasiwasi na uelewa viongozi wetu hapa Tz trump analalamikia WHO kwamba walichelewa kueleza dunia kuhusu hu ugonjwa ili wafunge mipaka mapema.......ila wakwetu duh sidhani hata kama wameshajua hizi model mbili mpya za kupambana na Corona zinazo tumika kwasasa dunia nzima

Sent using Jamii Forums mobile app
Wamegundua kuwa haxisaidi kitu chochote ndio maana hawazitumii. Sasa hivi America imesema watu waanze kutoka nje ila wavae barakoa maana wamefungiwa ndani na Covid-19 ndio ana pamba moto

God save us
 
Hahahaha hapa ndio huwa mnanifurahisha,mnakurupukia habari msizotaka kujua vyanzo vyake ila tu kuingiza siasa. Huyo mkenya si wale waliokamatwa tarime au?kama sio kaingiaje kenya wakati mipaka ya kenya imefungwa?

Tukiongelea burundi hawana presha kama Tanzania sababu ya watu kama nyie mnaotaka kutajiwa namba kubwa kuliko uhalisia
Upo sahihi sana tu, sisi uhalisia namba iko chini kwa sababu watu hawapimwi!
 
G Sam,
Wewe nawe akili ya kipuuzi, wanasema mmoja wewe unasema watatu! Upinzani hadi katika corona! Ushindwe na ulegee cc MK254 tafadhali fundisha hii mitu isiyokuwa na uzalendo
 
Hahahaha hapa ndio huwa mnanifurahisha,mnakurupukia habari msizotaka kujua vyanzo vyake ila tu kuingiza siasa. Huyo mkenya si wale waliokamatwa tarime au?kama sio kaingiaje kenya wakati mipaka ya kenya imefungwa?

Tukiongelea burundi hawana presha kama Tanzania sababu ya watu kama nyie mnaotaka kutajiwa namba kubwa kuliko uhalisia
Thanks dear, mijitu mingine inaboa ajabu
 
Hata tukipimwa tuna hizo dawa? Je hospital na vifaa vya kutosha kuhudumia hao mamia ya wagonjwa au ndo mtaanza kulalamika upya kuhusu ubovu wa huduma za afya. Hawa wakenya hapa wanatoa stories nzuri nzuri nenda majukwaa yao halisi ukajionee hali ilivyo mbovu wanalalamika balaa
Upo sahihi sana tu, sisi uhalisia namba iko chini kwa sababu watu hawapimwi!
 
Upo sahihi sana tu, sisi uhalisia namba iko chini kwa sababu watu hawapimwi!
Kama hujui nini kinafanyika, bora unyamaze wacha kujiaibisha, tangu lini ugonjwa wa mlipuko ukajificha?, kama hatupimi, kwanini wagonjwa wasijazane katika Hospitali zetu kwenda kutibiw, au hata kuumwa watanzania wenye maambukizi hawaumwi kwahiyo hawaendi Hospitals

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom