Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,365
- 8,069
Sevelyn
Mwanamke mmoja kutoka Kenya amejiweka katika msururu wa picha za likizo za watu wengine katika mtandao wake facebook
Sevelyn
Baada ya kushindwa kuwa na uwezo wa kusafiri kwenda barani Asia,Sevelyn Gat alijiweka katika picha karibu na ndege,katika ukuta mkubwa wa Uchina na hekalu moja.
Sevelyn akisema anaondoka Kenya
Picha hizo zilizowekwa kwa njia ya nzuri ili zisiweze kubainika kuwa za uongo zilikuwa mbaya zaidi na hivyobasi kuweza kupendwa na mara nyingi sana.
Sevelyn akisema kuwa ni siku yake ya mwisho akiwa china
Mfanyibiashara wa Nairobi sam Gachuru amejitokeza na kumsaidia kutafuta fedha ili kwenda likizo.
Sevelyn
Kulingana na Sich Chirpse Sam aliwasumbua rafikize kuchangisha fedha za mahala pa kulala,nauli bima na pesa za kutumia.
Seve Gats
Seve pia amepata kibali chake cha kuzaliwa anemtuma ombi la pasipoti na amepata kufunzwa kama meneja wa mradi.