MK254 JF-Expert Member May 11, 2013 32,225 50,368 May 29, 2016 #1 Haya vijana mliosoma, changamoto kwenu.... tumia hii kama kichochezi
collinss Senior Member Jun 15, 2015 105 51 May 29, 2016 #2 Impressive! Halafu ati alisoma hadi class 7...meaning the only certificate ako nayo ni birth certificate.
Impressive! Halafu ati alisoma hadi class 7...meaning the only certificate ako nayo ni birth certificate.
M msikivu66 JF-Expert Member May 17, 2015 254 125 May 29, 2016 #3 Ni pikipiki ya miguu minne, sio trakta, Ila nampongeza sana kwa ubunifu
specialist88 JF-Expert Member Aug 31, 2014 1,140 618 May 29, 2016 #4 Daah...tatizo la viongozi waengi wa Africa nikutotaka kuona watu kama hawa.....wao ni sarakasi na maigizo tu...
Daah...tatizo la viongozi waengi wa Africa nikutotaka kuona watu kama hawa.....wao ni sarakasi na maigizo tu...
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 75,193 157,336 May 29, 2016 #5 MK254 said: Haya vijana mliosoma, changamoto kwenu.... tumia hii kama kichochezi Click to expand... Agha gho mahala
MK254 said: Haya vijana mliosoma, changamoto kwenu.... tumia hii kama kichochezi Click to expand... Agha gho mahala
Mwasita Moja JF-Expert Member Dec 31, 2015 2,903 2,580 May 29, 2016 #6 Akili ya huyu jama ni sawa na akili ya nyumbu laki 6