Mkenya aliingia Tanzania kinyemela kuhudhuria mazishi ya ndugu, akaambukizwa kirusi huko

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,746
48,342
Alikwenda kisiri na kuishi huko zaidi ya wiki mbili, akakamatwa wakati anajaribu kurudi, amepimwa na kukutwa amesheheni kirusi. Atakula jeuri yake mpuzi, kila siku tunasema watu waepuke kwenda kule Tanzania kwa sasa, wale kule wameshafanya maamuzi ya kufukia vichwa ardhini, wamegoma kuchukua hatua zozote za maana, bado wanasongamana kwenye vilabu vya pombe na kwenye madaladala, sasa ukienda huko lazima uibuke nacho.

Wameacha kupima baada ya kuibua tikitaka za mapaipai na matikiti maji, hivyo hawaendani na taifa lolote duniani. Wamezembea kupita maelezo na kukaidi kila aina ya ushauri wa kitaalam, na wameshatangaza ligi la soka litaendelea. Hehehe wakaidi balaa, mfupa uliomshinda fisi.

======

Covid-19: Homa Bay's 2nd patient sneaked into Tanzania and back

The 45-year-old woman from Homa Bay County, who tested positive for the coronavirus, sneaked into Kenya from Tanzania where she had attended a relative’s funeral.

The woman, who hails from Gwassi in Suba Sub-county, reportedly crossed into Tanzania illegally two weeks ago, to bury her step-father in Shirati.

County Health executive Richard Muga said she stayed in that country for two weeks and that it is believed she contracted the virus there.

She returned to Kenya at about midnight on May 5 and then travelled back to her home in Mukuyu village using a boda boda.

Villagers reported her travels to local authorities, worried about possible transmission of the Covid-19 disease.

"They had not seen her for two weeks. They got information that she had travelled to Tanzania for a funeral and decided to inform their local chief," Prof Muga said.

Source: Daily Nation
 
Hebu muulizeni vizuri asije akawa alimegwa na beberu. Huku kwetu hata mbuzi wana Corona.

Sasa kama ugonjwa unashambulia mpaka mapapai, sisi binadamu tuuogopee nini?

Nyie endeleeni kujifungia ndani wakati sisi tunachapa kazi.
 
MK254, huku tunakabiliana na corCoronavi kwa kufunga, kusali, na kujifukiza Kama tulivyo agizwa na kuhani mkuu Magumashi.
Huyo Mkenya mwenzako kapata laana ya kutomsikiliza kuhani mkuu, ambaye pia ni jaji, polisi, mwanajeshi, Daktari wa Meno, mkemia, mfamasia, nesi, mortuary attendant, mfungua geti, mchimba makaburi na mzikaji

Nimeanza siku kwa kicheko....umetisha jamaa.
 
MK254, huku tunakabiliana na corCoronavi kwa kufunga, kusali, na kujifukiza Kama tulivyo agizwa na kuhani mkuu Magumashi.
Huyo Mkenya mwenzako kapata laana ya kutomsikiliza kuhani mkuu, ambaye pia ni jaji, polisi, mwanajeshi, Daktari wa Meno, mkemia, mfamasia, nesi, mortuary attendant, mfungua geti, mchimba makaburi na mzikaji
Kaugonjwa kenyewe kadogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo alikuja na virusi vyake kaondoka navyo acheni kiki za kindezi ndezi hizo
 
"Villagers reported her travels to local
authorities, worried about possible
transmission of the Covid-19 disease. "They had not seen her for two weeks.
They got information that she had
travelled to Tanzania for a funeral and
decided to inform their local chief,"
Prof Muga said."
Mambo yamebadilika kweli, hadi wakenya kule vijijini wamekuwa masnitch. Yaani ukisafiri tu kuenda Tz wanakimbia kumfahamisha chifu.
 
"Villagers reported her travels to local
authorities, worried about possible
transmission of the Covid-19 disease. "They had not seen her for two weeks.
They got information that she had
travelled to Tanzania for a funeral and
decided to inform their local chief,"
Prof Muga said."
Mambo yamebadilika kweli, hadi wakenya kule vijijini wamekuwa masnitch. Yaani ukisafiri tu kuenda Tz wanakimbia kumfahamisha chifu.

Yaani naskia pale mpakani hata unaweza ukapigiwa makelele ya mwizi ukithubutu kupita, ila polisi ndio wanatuangusha, kwamba imekua eti ukitaka kupita salama bila usumbufu unatumia polisi kwa kuwalipa.
Halafu jana nilishuhudia jamaa huku kwetu anakamatwa kisa barakoa, alijitetea kwa maneno maneno mengi (ungedhani Mtanzania maana wao ndio huwa watu wa maneno mengi), ila sijui yaliisha vipi, nilimuacha analia sana.

Hizi barakoa hatujazizoea, kuna wakati unajisahau na kuishusha.
 
Back
Top Bottom