Mkenya achuma hela Ulaya kwa kugema pombe ya kienyeji

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,759
48,407
Ndio kama hivyo, jamaa ametoka kimasomaso kwa kugema "muratina" aina ya pombe ambayo huku sio halali. Wazungu wameichangamkia na kuachia dollars $$$$

muratelia_0.jpg

Foreigners enjoy Muratelia drink in the UK
MURATINA
A Kenyan man is minting money in the UK by brewing and selling the locally produced alcoholic drink, Muratina.

The brew is largely illegal in Kenya, however, for King'ori Wambaki, the Kikuyu traditional drink has made him a household name in Cheshunt, UK.

Wambaki has spent over 27 years in England, shifting from studies, working for foreigners and unveiling his own business.

He packages the drink, dubbed Muratelia, as wine spiced with honey. It contains 12 percent alcohol and is sold to customers under the age of 35.

aaaw.JPG

King'Ori Wambaki (right) enjoys his drink. On the left is a fashion icon marketing a branded Muratelia bag: COURTESY
Muratelia is sold at between £10 (Ksh 1,491) and £25 (Ksh 3,727) depending on whether it’s sold on counters, retail shops, or restaurants.

"Cheshunt is located outside London. We used ingredients that are available here in the UK as we have not yet reached a point where we can import products from Kenya.

"The business provides income better than what I can earn while being employed, Wambaki who hails from Othaya, Nyeri stated while speaking with a local daily.

He disclosed that he made in-depth research and business plans on how to market his product. It has also been incorporated in the modeling and fashion industry through branded bags and clothes.

He has also created employment for the youth in the UK as he owns three restaurants and four shops.

What worked for him was that he had no competition as the drink was a new entity in the UK market. Wambaki is keen on expanding his business and the entrepreneur targets the local Kenyan market.

He said that he had applied for a business permit and license in Kenya, seeking to introduce his upgraded brand.

"The whites love it despite it being a Kenyan drink. In June we may start producing it in Kenya," he added.

According to his LinkedIn page, the economist holds a Master of Science in Finance and Management and a Bachelor of Science in Economics.

muratelia 3.JPG

A bottle of Muratelia in an advert posted on the company's website
MURATINA

Source: www.kenyans.co.ke
 
illicit brews in the making! subiri soon atatia formalin kuongeza kilevi!
 
Hongera zake, 'cirigi' lazima zichumwe kote kote. Nakumbuka mara ya kwanza nilipokunywa Múratina, nilikuwa na miaka kama 7 hivi au labda 8. Ilikuwa kwenye maombolezi mashinani kabisa maeneo ya Othaya, Gatuzi la Nyeri. Babangu mdogo alinipa glasi tatu kisirisiri, nikazichapa one touch! Watu walijionea mengi sana kabla babu yangu ashtukie kwamba nilikuwa nimelewa chakari. Waliniambia baadaye kwamba niliingia miguu, mwili wote hadi na kichwa ndani ya sufuria moja kubwa ambayo ilikuwa na ukoko wa Múkimo. 😁
 
Duh! Sipati picha ulivyokua unafoka, kama hiyo iliyogemwa kwenye sherehe kijijini ndio huwa mahsusi, tofauti na hizi za huku mjini mjini ambazo jamaa hukoleza kwa kuongeza vitu vyao, unajikuta baada ya kubugia glasi moja unaongea na mizimu ya mababu waliotangulia mbele za haki karne tano zilizopita.
 
Cant wait to hear Geza kiti mtu meat plant in sabawanga is in operation.
 
sasa ni zamu yetu wachaga kwenda kutengeneza mbege china coz wachina wanameza kila kitu kama tu kinafaa kupita mdomoni
 
Duh! Sipati picha ulivyokua unafoka, kama hiyo iliyogemwa kwenye sherehe kijijini ndio huwa mahsusi, tofauti na hizi za huku mjini mjini ambazo jamaa hukoleza kwa kuongeza vitu vyao, unajikuta baada ya kubugia glasi moja unaongea na mizimu ya mababu waliotangulia mbele za haki karne tano zilizopita.
Eti mizimu ya mababu? Mimi nilielezwa na babu kwamba pombe za aina hiyo ni za watu ambao wana vitu ambavyo wanaweza wakavitungia nyimbo. Kwa maringo stimu zikishapanda kupindukia, k.m. ngombe wengi, mbuzi, mavuno, wake na mabinti wengi wa kuwaletea mahari.
 
Hahaha sasa UK kuna mti gani wa kugema Pombe? 😂😂😂

Si uongee kikikuyu tu kuliko kutuharibia lugha yetu mali binafsi ya Tanzania 🇹🇿🇹🇿😅😅

Asali haigemwi, inarinwa
 
Kando na asali kiungo kingine muhimu kwenye pombe ya Múratina ni hiki kidude(múratina) kutoka kwenye mti unaojulikana kama Kigelia Africana, almaarufu kama Sausage Tree kwa kimombo.
Kigelia-Africana-muratina-tree.jpg
Asante jirani👏 Nikija Nairobi nitaitafuta japo nimesom sio halali?
 
Back
Top Bottom