Mkenya Aachia Ngazi Yanga

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,140
13,215
mg8.jpg
 
kwani lini alishazikama ngazi? si tuliambiwa Mwalusako ataendelea kukaimu?
 
nasikia ametumiwa kitu akiwa bafuni na akina Akilimali
 
Mkurugenzi wa Ufundi wa klabu ya Yanga, Patrick Naggi ameacha kazi akidai ni kutokana na ubabaishaji wa viongozi wa klabu hiyo.

Naggi ambaye ni Mkenya amefikia uamuzi huo hivi karibuni baada ya kukaa muda mrefu bila ya kusaini mkataba wowote wa kuitumikia klabu hiyo tangu alipotua hapa nchini Septemba mwaka huu kwa ajili ya kuwa Katibu Mkuu wa klabu hiyo.

Hata hivyo, hakuweza kupewa cheo hicho baada ya kuzuka kwa malumbano kati ya viongozi na baadhi ya wanachama wa klabu hiyo ambao hawakutaka apewe nafasi hiyo ya Katibu Mkuu ambayo inakaimiwa na Lawrence Mwalusako.

Kutokana na hali hiyo uongozi wa Yanga ulimteua kuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa klabu kazi ambayo ameifanya kwa muda wa miezi mitatu bila ya kuwa na mkataba wa aina yoyote ...
...........................................................
 
Aaah Mkuu, sasa ina maana wa-TZ hatujui kazi au? Au ndiyo mambo ya EAC soko la pamoja?

Mkuu hukusikiliza hotuba ya Mh Rais Bungeni? nimetokA kwenye kikao cha EAC karibuni, woga tupu, jiulize ilikuaje Yanga wakaangukia kwa Mkenya? hivi hadi leo unajua kosa la Mwalusako ni lipi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom