Mkemia ninatafuta kazi!

Kenfurah

Senior Member
Jan 23, 2019
113
321
Mimi ni binti wa miaka 25, ni muhitimu wa shahada ya ukemia mwaka 2018 katika chuo kikuu cha Dar es Salaam. Ninahitaji ajira yoyote ya halali katika viwanda au kampuni yoyote inayohusiana na ukemia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera mkemia jaribu hata kujitolea mahali popote ambapo kada yako inafit unaweza pata chochote.. all in all Prof Mhinzi, Dr Mahugija na Dr Mgina bado wapo kweli!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom