Mkemia mkuu tunaomba utuhurumie, unatuumiza sana

Habari wadau.

Leo napenda kuweka wazi hili linalonikwaza kwa huyu mkemia mkuu wa serikali.

Ijulikane kwamba kila mwisho wa mwaka mkemia mkuu wa serikali amekuwa akitoa matokeo ya vipimo vya DNA alivyovifanya kwa mwaka mzima.

Lakini kila akitoa ripoti huonyesha kuwa wababa wengi walioenda kupima DNA inaonyesha watoto si wa kwao!

Yani bila kujali madhara yatakayotokea kwenye jamii ,yeye hutangaza tu kwamba matokeo yanaonyesha watoto si wa kwenu.

Jiulize wewe baba umelea mimba kwa kutoa matumizi, mtoto akazaliwa ukanunua nguo na mtoto akakua na ukampeleka shule.

Baadae kirahisi rahisi tu mkemia mkuu anakuja kutangaza mtoto si wako!!

Ungekuwa wewe ungejisikiaje??

Kwa taarifa yako hiyo ripoti inasababisha ndoa kuvunjika na kuongezeka kwa watoto wa mitaani!!

Mkemia mkuu jiulize upya namna ya kuwasilisha ripoti yako kwa jamii.
Upuuzi mtupu, ccm imekuharibu akili...
 
Mm,hii nayo mpya.Sasa maana ya kupima DNA ni nini.Mkuu hii ni confirmatory test ambayo inamuwezesha mkemia mkuu na wewe kuweza kujua kama mtoto ni wako au sio wako.Sasa kapima DNA kaona mtoto sio wako kwa kuwa DNA zenu hazishabihiani,asema mtoto ni wako?Basi kutakuwa hakuna haja ya kupima DNA.Kumlea mtoto haihalalishi huyo mtoto kuwa wako mkuu.Unaweza kumlea mtoto maisha yake yote toka mimba mpaka hata akiwa mzee na bado asiwe mwanao.Kushabihiiana kwa DNA ndiko kunakomfanya mtoto kuwa wako,sio malezi.
 
Wewe ndo huna akili ningekuona unaakili kama ungesema iwepo sera ya wanandoa kupima DNA ya mtoto mara tuu baada ya kuzaliwa ili kukomesha wanawake kubambikiza watoto kwa wanaume. Unataka mkemia akiite kijiko spedi badala ya kukiita kijiko.
 
Mm,hii nayo mpya.Sasa maana ya kupima DNA ni nini.Mkuu hii ni confirmatory test ambayo inamuwezesha mkemia mkuu na wewe kuweza kujua kama mtoto ni wako au sio wako.Sasa kapima DNA kaona mtoto sio wako kwa kuwa DNA zenu hazishabihiani,asema mtoto ni wako?Basi kutakuwa hakuna haja ya kupima DNA.Kumlea mtoto haihalalishi huyo mtoto kuwa wako mkuu.Unaweza kumlea mtoto maisha yake yote toka mimba mpaka hata akiwa mzee na bado asiwe mwanao.Kushabihiiana kwa DNA ndiko kunakomfanya mtoto kuwa wako,sio malezi.
Halafu mkemia atakuwa anafanya cheating ile ile ya mwanamke.
 
Mpaka unaenda kupima ni kwamba una doubts. Most likely hizo doubts hazidanganyagi.

Ambao hatujaenda kupima tunajiamini.
 
Sioni kwa nini unaona yeye anachangia hayo kwenye ndoa.. labda mtu uwe una mashaka au tayari unahusika na hayo.

Na kama unamashaka si mkapime tu.. yeye ndio kazi yake.. ni nyie wanaume kuwapa raha wake zenu wasitoke nje.
Aliye anzisha uzi ni muhanga wa mkemia
 
Halafu mkemia atakuwa anafanya cheating ile ile ya mwanamke.
Kama Mkemia akifanya cheating ya namna hiyo,kitu ambacho naki-doubt sana, atakuwa amekwenda kinyume cha maadili ya kazi yake na lengo zima la kupima DNA litakuwa limekuwa defeated.Katika hali hiyo sidhani kama anastahili kuwa Mkemia Mkuu wa serikali
 
Anatoa taarifa kirahisi? Ki vipi?
Ulitaka atoe taarifa akiwa katika mazingira magumu? Akiwa amekalia kisu? au akiwa anatafuna moto? au akiwa ananawa uso kwa maji yenye pili pili? Au akiwa na kitanzi shingoni?
haha ukiwa na stress jf znaisha too fun
 
ukweli humweka mtu huru daima mkemia mkuu ametoa matokeo ya waliopima na huo ndio ukweli pole kwa waliolea mimba za watu halafu hii ripoti haijawaacha salama
 
Habari wadau.

Leo napenda kuweka wazi hili linalonikwaza kwa huyu mkemia mkuu wa serikali.

Ijulikane kwamba kila mwisho wa mwaka mkemia mkuu wa serikali amekuwa akitoa matokeo ya vipimo vya DNA alivyovifanya kwa mwaka mzima.

Lakini kila akitoa ripoti huonyesha kuwa wababa wengi walioenda kupima DNA inaonyesha watoto si wa kwao!

Yani bila kujali madhara yatakayotokea kwenye jamii ,yeye hutangaza tu kwamba matokeo yanaonyesha watoto si wa kwenu.

Jiulize wewe baba umelea mimba kwa kutoa matumizi, mtoto akazaliwa ukanunua nguo na mtoto akakua na ukampeleka shule.

Baadae kirahisi rahisi tu mkemia mkuu anakuja kutangaza mtoto si wako!!

Ungekuwa wewe ungejisikiaje??

Kwa taarifa yako hiyo ripoti inasababisha ndoa kuvunjika na kuongezeka kwa watoto wa mitaani!!

Mkemia mkuu jiulize upya namna ya kuwasilisha ripoti yako kwa jamii.
Na wewe kama umepiga mimba mke wa mtu unachangia matokeo hayo!!
 
mchapiwe wake zenu mpaka wanazalishwa halafu lawama mnapeleka kwa Mkemia Mkuu
Kila siku wanawake tu mara baba kachepukia kule mke akilalamika matusi na kashifa juu kumbe hata mambo yenyewe ni ziro +0 akiamua kuchepuka yeye na mtoto kabisa ngumu kumeza wake wanavyovumilia shida ya waume zao sasa zamu ya waume kuvumilia na kulea hao watoto hapana kuuliza uliza
 
Ifahamike tu kwamba wengi wetu humu hatujawahi kwenda kupima hizo DNA kwakuwa hatuna quarrel wala doubt kwenye upatikanaji wa mtoto aliyezaliwa.wengi wanaornda kule ni wale waliokuwa na wasiwasi jinsi mimba ilivyopatikana.na MTU sio mjinga atoe gharama zake kubwa akapime DNA wakati hakuna tatizo lolote.umesafiri umekaa miezi minne unarudi unamkuta mkeo ana mimba ya miezi miwili lazima uwe na wasiwasi na wasiwasi wako ni reasonable ndio maana wengi wao wanaokwenda kupima majibu yanakuja negative hivyo lazima majibu ya mkemia mkuu yawe hivyo kwakuwa wanaopelekana huko wengi wao tayari walishaona dalili
Tatizo wanaume wengi hawako karibu na wake zao, mwanaume unasafiri ukirudi hata hujielewi upo jujuu kama panzi anaekimbia moto mke afanye nini kama si kutafuta pumziko
 
Jamani na nyie mnaoenda kupima dna za watt wenu wengi mnakuwa mmeshahisi kuwa umebambikwa unataka kupata uhakika na mara nyingi inakuwaga kweli na ndio hao taarifa zao alizotoa mkemia.

Siku zote bao lako halali huwezi kulitilia shaka hata kidogo.
 
Bao la mkono huwa halifiki mbali
 
Sasa kama ulitaka majibu hayo ambayo kwako yangekuwa poa, kwa nini upime DNA. Maanake hakukuwa na haja ya kwenda kufanyiwa vipimo, kwa kifupi sioni logic ya swala lako...
 
Huwa anapotosha; wanaoenda kupima maana yake kuna shaka tayari, ila sio kiashiria cha general population
 
Back
Top Bottom