Mkeka wangu wa UEFA Champions League usiku wa leo!

MuuzaStudyMaterials

JF-Expert Member
Aug 15, 2018
408
454
Naweka mkeka wangu kama ifuatavyo:

Mkeka wangu wa kwanza natandaza hivi:

1. Manchester City win
2. Juventus win
3. Bayern Munchen win

Hapa ukiweka 10,000 unaweza kupata 18,000.

Au ukiweka 100,000 unaweza kupata 201,000.

Mkeka wangu wa pili hv:

1. Real Madrid win
2. Lyon win
3. Roma win

Hapa ukiweka 10,000 unaweza kugonga 29,000. Ukiweka 100,000 unaweza kugonga 297,000.

Twendeni tuka bet.....!

NB:

Naendelea kuwakumbusha mimi ni MuuzaMaterials Tanzania nzima. Watoto wenu, wadogo zenu, marafiki zenu, jamaa zenu, wasije kufeli kwa kukosa materials yaliyosheheni Notes na Q & A.
 
Roma, Lyon, madrid mmoja wao anachana mkeka wako game zikiisha utakuja hapa kuleta ushuhuda sanasana Roma na madrid waogope hawana consistency ya ushindi watie 1X
 
Back
Top Bottom