Mkeka wa TRA lini?

Sio kuliza coz hata mie niliapply na nilikuwa nazisubiria kwa hamu, lkn nikipata hizo taarifa kwa chanzo cha uhakika nikakosa pozi kabisa, nimeona sio mbaya kuwajuza wahanga wenzangu kuendelea kuangalia sehemu zingine

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Ila MKUU utumishi nao wababaishaji tu!, Hebu fikiria mtihani umevuja Gazeti la Jamhuri likaweka wazi kuvuja mtihani wa TRA ili kubalance story wakaenda kumhoji afisa kutoka PSRS huyo afisa akasema kwamba wao bado wanasahisha na hakuna taarifa ya kuvuja mtihani wa TRA, Mara kidogo PSRS wakafuta Nafasi zile wakatangaza tena bila ufafanuzi wowote.
 
Hatuwez kufaham dhumuni la kufutwa lile tangazo kwamba ni kweli au hapana lkn pia tukitizama na kitengo kiliondolewa na kuongezwa kwenye sehem nyingine kwa nini hatukuhoji katika hilo? Hakuna wala haingii akilini kubebana kupo lkn s kwa idad ya kazi ambaz zilikuwa zimetolewa. Mfahamu kwamba lazima kuandaa mazingira rafiki kwa muajiri kwa ajili ya waajirwa wapya. Mimi mwenyewe nimeapply nafasi zote tatu, kuajiri n mchakato kwahiy muhimu tuache mihemko nafasi kama zimepata watu itajulikana kadhalik nipo nafahamiana na watu wa TRA mkoa fulani n wilaya za miji fulani hakuna lolote .Isipokuwa kwa kuwa tunamihemko tu mtu atakujibu tu, kama mtu bas anajuana na afisa au watu nyeti n kama ni kweli bas awatake awekwe na yeye lkn kusubiri ni bora kuliko kuongea vitu visivyo kuwepo 🙏 JAPO INAUMIZA
 
-Wewe unaongea nn? Tunachotaka Ni uwajibikaji watu wametumia gharama kubwa Sana kufanya usaili halafu unaleta majibu mepesi hapa
-kitendo cha utumishi kufuta matokeo ya ule usaili wa mwanzo kimewaondolea kuaminika Tena na umma
 
Sawa ndugu biashara gani yenye faida tu.lkn kama ulion umeshindwa kuamini vipi ulituma maombi tena? C kwamba wewe pekee ndo uliumizwa hapana. Kama uvumilivu unashindikana ktk kusubiri kuitwa n idadi ya watu waliomba ni wengi kuliko unavyo dhani wataka watoe majina haraka n vipibwwngine wakiachwa kwa ajili ya kuchangamka kutoa kila kitu kina kwenda kwa taratibu ambaz zinawaongoza wao.Na isitoshe muajiri yupo na kusudio lake anajua fika ni wakati gani anahitaji watu wawe wameanza kazi lkn si kwa mihemko ya waombaji
 
Hii sio business, hii ni public entity elewa Kuna utofauti lazma wawe objective na accountable kinamna moja au nyengine, otherwise raia lazma walose faith na hii PSPRS, kama hawawez Kaz it's better wakawaachia mamlaka husika
 
Na hiyo mamlka husika ndo imeomba, kwani mwanzoni mwa tangazo huwa linatupa muongozo gani, kwa niaba ya nani wao wanatangaza huu ni muongizo utolewao na fahamuni PSPRS wao hawaajiri, na muajirri ndo anatoa nahitaji mathalani mwezi wa sita kuajiri ila naomba nitangazie nafasi hizi katika mwezi wa january hawa n mawakala wa taasisi husika anafuata muonhizo wa muajiri
 
Hii sio business, hii ni public entity elewa Kuna utofauti lazma wawe objective na accountable kinamna moja au nyengine, otherwise raia lazma walose faith na hii PSPRS, kama hawawez Kaz it's better wakawaachia mamlaka husika
-Yeah well articulated, tunachozungumzia hapo Ni uwajibikaji tu kwa PSRS, kwa maana haiwezekani mtihani uvuje halafu Katibu wa PSRS bado Yuko ofisini,
-Kama mtihani haukuvuja wataje ni sababu gani zimefanya wafute usaili wa mwanzo kimyakimya halafu waitishe usaili mwingine, tunataka tuambiwe sababu ya kuahirisha usaili wa mwanzo ni ipi?
- Watu walewale waliotuhumiwa kuvujisha mtihani wa TRA wanatunga tena mtihani wa TRA
 
Kwa taarifa tu katibu wa PSRS ameteuliwa kuwa naibu katibu wa wizara juzi juzi tu na ameshaanza majukumu yake
 
Kwa hio amepewa promotion kwa kazi nzuri aliyoifanya mkuu?au Ni promotion kwa nje lkn in reality Ni demotion (in terms of influence, power, connection etc)?
 
Sawa ndugu biashara gani yenye faida tu.lkn kama ulion umeshindwa kuamini vipi ulituma maombi tena? C kwamba wewe pekee ndo uliumizwa hapana. Kama uvumilivu unashindikana ktk kusubiri kuitwa n idadi ya watu waliomba ni wengi kuliko unavyo dhani wataka watoe majina haraka n vipibwwngine wakiachwa kwa ajili ya kuchangamka kutoa kila kitu kina kwenda kwa taratibu ambaz zinawaongoza wao.Na isitoshe muajiri yupo na kusudio lake anajua fika ni wakati gani anahitaji watu wawe wameanza kazi lkn si kwa mihemk

Kwa taarifa tu katibu wa PSRS ameteuliwa kuwa naibu katibu wa wizara juzi juzi tu na ameshaanza majukumu yake
Hebu lete Hilo tangazo.
 
Mambo job seekers wenzangu?
Kuna mwenye fununu ya hawa utumishi watatoa lini ule mkeka wa kazi za tra ambazo deadline ilikua 4/11/2021?
Tunataka tukajaribu bahati zetu.
Baada ya uchunguzi wangu Wa kina pamoja na kujaribu kuwatafuta watu waliotwa kwenye interview ya TRA Dodoma .
Leo hii nahitimisha kuwa walioomba TRA na hamjaitwa ushapita hio Interview ilishafanywa zamani na utumishi walichambua very talented in terms of experience and Elimu ndio walioitwa wengine waliona ni jau na lawama kuwaita watu kati hizo nafasi zilishakuwa fixed na intern pamoja na wamchongo.

NB:Tuendelee kula nyama ziko chini
 
Back
Top Bottom