Mangisandy
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 2,652
- 2,272
Basi mheshimiwa waziri ametukanwa hadharani!Nonsense = mjinga,
Stupid= shenzy, mpuumbavu

Peleka wazimu wako chooni, kama kweli huyo Mwandosya alikuwa wa maana nchi nzima si ingekuwa na maji. Binafsi sitaki kabisa kusikia majina yanajirudia, na ikiwezekana hizi nafasi ziwe kwa weledi na uwezo, maana sijaona wa kuleta mabadiliko huko Bungeni.Salaam Wakuu,
Tunashukuru rais Samia kwa kuanza kuwaona Mawaziri wanaotoa Matamko nonsense. Namuunga Mkono kwa kuliona hilo.
Hii inamanisha kwamba, Mawaziri Nonsense Bye bye.
Mkeka safari hii utakuwa wa moto. Mawaziri wameshindwa kumsaidia rais, wanatoa Matamko bila kumshirikisha rais.
Mkeka ujao ndo mwisho wa dharau kwa rais.
Nani unapendekeza atoke na kwa sababu gani?
Nani aingie kwa sababu gani?
Nampendekeza ateuliwe Mark James Mwandosya apewe Wizara ya maji. Kabobea.
Serikali kutomtumia Mark James Mwandosya, ni kupoteza nguvu kazi ya taifa. Vijana bado wanatakiwa kujifunza kwake.
Nonsense wote watoke Serikali
View attachment 2026760
Tuambie legacy yake hata moja tu alipokuwa kwenye wizara kama waziriSalaam Wakuu,
Tunashukuru rais Samia kwa kuanza kuwaona Mawaziri wanaotoa Matamko nonsense. Namuunga Mkono kwa kuliona hilo.
Hii inamanisha kwamba, Mawaziri Nonsense Bye bye.
Mkeka safari hii utakuwa wa moto. Mawaziri wameshindwa kumsaidia rais, wanatoa Matamko bila kumshirikisha rais.
Mkeka ujao ndo mwisho wa dharau kwa rais.
Nani unapendekeza atoke na kwa sababu gani?
Nani aingie kwa sababu gani?
Nampendekeza ateuliwe Mark James Mwandosya apewe Wizara ya maji. Kabobea.
Serikali kutomtumia Mark James Mwandosya, ni kupoteza nguvu kazi ya taifa. Vijana bado wanatakiwa kujifunza kwake.
Nonsense wote watoke Serikali
View attachment 2026760
Atakayemuona KIGOGO2014Salaam Wakuu,

A.k.a halima mdee ni kada mwaminifu wa CCMMwandosya alitaka kuuza ATCL na TTCL!
Halima James Mdee aingie kwenye Baraza la mawaziri!
Sio yule anayekagua ukame angani? Au ameamua kuwa mfadhili wa timu pinzani?Atakayemuona KIGOGO2014
KWA HIYO UMESHATUMWA UJE UKAMFANYIE LOBBYING? YAANI UNARECOMMEND WATU HATA MENO YOTE MDOMONI YANATIKISIKA? POOR ME!!!!Salaam Wakuu,
Tunashukuru rais Samia kwa kuanza kuwaona Mawaziri wanaotoa Matamko nonsense. Namuunga Mkono kwa kuliona hilo.
Hii inamanisha kwamba, Mawaziri Nonsense Bye bye.
Mkeka safari hii utakuwa wa moto. Mawaziri wameshindwa kumsaidia rais, wanatoa Matamko bila kumshirikisha rais.
Mkeka ujao ndo mwisho wa dharau kwa rais.
Nani unapendekeza atoke na kwa sababu gani?
Nani aingie kwa sababu gani?
Nampendekeza ateuliwe Mark James Mwandosya apewe Wizara ya maji. Kabobea.
Serikali kutomtumia Mark James Mwandosya, ni kupoteza nguvu kazi ya taifa. Vijana bado wanatakiwa kujifunza kwake.
Nonsense wote watoke Serikali
View attachment 2026760
Akianza na wa nishati ntamuona kweli yupo seriaz! Mgosingwa out
Ni kama maskini kuamka dangoteHio ni ndoto mkuu..
Hilo natabiri haliwezekani
Aanze kutukanwa mitandaoni na Kigogo!!Akianza na wa nishati ntamuona kweli yupo seriaz! Mgosingwa out
Ni kama maskini kuamka dangote
Kwani mfumo ndo kitu gan?Mfumo mbovu hata kama utateuliwa wewe hakuna muujiza utafanya
Mdee ni mbunge wa chama ganiMwandosya alitaka kuuza ATCL na TTCL!
Halima James Mdee aingie kwenye Baraza la mawaziri!
ERA imepita Mura fumbua machooo.Hahahahah wanapasuana wenyewe kwa wenyewe