Katika kikao cha Bunge kilichopita spika alimtolea ultimatum bwana Lissu kuwa kama hatasitisha tuhuma zake basi yeye mwenyewe spika angetuwekea mkeka wazi.
Nimekuwa nausubiria huu mkeka ili kujua ukweli ni upi pasipo na matumaini ya lini utatandazwa kwani mheshimiwa Lissu hakuna alipolegeza kamba.
Spika Ndugai, wapi mkeka au ulikuwa watishia nyau?