Mke wangu yupo kwa Mganga muda huu kunishughulikia

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,627
154,994
WANDUGU WAPENDWA MNO JF LA FAMILIA.

Ndugu yenu Bujibuji a.k.a General Galadudu nimetumiwa video clip ya mke wangu usiku huu saa nne kamili akiwa kwenye kilinge cha mganga akinishugulikia. Aliyetuma hiyo video ni shosti wake, ambaye pia mimi nimekuwa nikimtumia kusuuza rungu pindi mke wangu anapokuwa kwenye mgomo wa kugegedwa.

Mke wangu ameondoka tangu asubuhi na ameniaga kuwa anaenda kwa shangazi yake lgogwe kumsabahi. Mke wangu anadai kuwa mimi si mwaminifu licha ya kwamba hajawahi hata kuona sms kwenye simu yangu lakini amekuwa akioteshwa nina mwanamke.

Najaribu kumpigia hapatikani.

Naambatanisha hiyo whatsapp video soon
 
Akirudi mpige talaka 3 waganga wengi lazima washiriki tendo ili kumtia alama ya kudumu afae kwa matumizi ya siku zijazo.

"Ishi nao kwa wema lakini usiwaamini."
 
ukitaka apatkane mwambie shost ake kuwa umeleta mchepuko omu na pati umeweka ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Endelea kusugua rungu na hiyo video mtumie na yeye mwambie utamwendea bwagamoyo ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ

Back
Top Bottom