Mke wangu wa ndoa amenisaliti, ameingiza mwanaume ndani ya nyumba! Nimfanyeje?

Trueman

Member
Oct 11, 2012
88
10
Yamenitokea kweli wadau Mke wangu wa ndoa aliingiza mwanaume ndani ya nyumba na kulala nae mpaka asubuhi kwakati me nk safari kibiashara adhabu yake ni nini? Hii ni pamoja kuvuluga mtaa yaani ametembea na marafiki zangu
 
Kaka kwani na wewe ushawai kutoka nje ya ndoa?umewahi kutembea na rafiki zake?kama majibu yote hapo juu ni hapana then nakuunga mkono kuachana nae mana heshima ya ndoa si kutumia kitanda cha mke wako au mme wako na mtu mwingine na hata kama ukimsamehe nadhan ataendelea mana ndo tabia yake mana kutembea na rafiki zako ni aibu sana kaka na je hao rafiki zako hauwaonei aibu?Hauoni aibu kusimama mbele ya rafiki zako huku wakiwa wanamjua mke wako well and gd.

Better lay low
 
It' true guys ina pain sana na michango yetu yote nimeipenda swala la kumfumania halina msingi magonjwa ni mengi ameyafanya haya kwa kukusudia kabisa kwani hakuogopa hata rafiki yangu ambaye nilimpa hifadhi kwangu ambaye ndy yeye alikuwa akimfungulia geti mbaya zaidi mwanangu wa umri miaka 5 alikuwa anapelekwa kwa jirani yangu ambaye ni shoga yake yeye anakwenda kula starehe then usiku au kesho ndy anampitia mtoto kumsamehe sio tatizo ni kwamba nina uwakika mambo haya yatajirudia tu kwani ana mdogo wake wa kike huyo ameshikana so think ndy hulika yao
 
Kaka kwani na wewe ushawai kutoka nje ya ndoa?umewahi kutembea na rafiki zake?kama majibu yote hapo juu ni hapana then nakuunga mkono kuachana nae mana heshima ya ndoa si kutumia kitanda cha mke wako au mme wako na mtu mwingine na hata kama ukimsamehe nadhan ataendelea mana ndo tabia yake mana kutembea na rafiki zako ni aibu sana kaka na je hao rafiki zako hauwaonei aibu?Hauoni aibu kusimama mbele ya rafiki zako huku wakiwa wanamjua mke wako well and gd.

Better lay low

kaka sijawahi kama ningekuwa mchafu ningeanza na mdogo wake maana nimemkwepa sana, na mtaani nina heshima kubwa lakni kwa sasa nimevuliwa nguo kabisa

rafiki mmoja ambaye amekili kwa mke wake na kujutia hili anajisikia vibaya ambaye nae mke wake na mke wangu walikuwa kifanya wote umalaya ila mke wangu amemzidi ujanja na kutembea na mume wake ndy ikabidi amwage ukweli mtupu ambayo meseji ambazo nilizozikamata zimezilisha mke wangu ni mchafu
 
Mpaka mwanamke anafanya hivyo ujue wewe una tatizo.
Haiwezekani kwa mwanamke kutenda hayo kama mwanaume huna tatizo. Ni bora ukajichunguza kwanza kama kibamia kinasimama na kama hakisimami jifanye huoni ili maisha yaendelee maana nayeye ni binadamu na kwako hakufuata kaka bali kibamia. Kama ni kaka alikuwa nao kwao.
 
Nikisema huku ni full ma stress watu hawanielewi. Jukwaa la siasa ni kelele tu lakini hakuna stress.

Sasa hii kama si kutiana stress asubuhi-asubuhi ni nini?

Ngoja nirudi kwenye mada;

Kwanza nataka kujuwa huyo ni mkeo wa ndoa ya kihalali? au ni mwanamke tu unaishi nae na mnasingizia kuwa ni mke na mume, maana siku hizi neno mke au mume linatumika kiholela tu.

Nijibu hilo kabla sijakupa ushauri.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom