Chunguza chanzo cha yeye kufanya hvyo,kama unahisi hatobadirika bora umpe talaka tena fasta
Yamenitokea kweli wadau Mke wangu wa ndoa aliingiza mwanaume ndani ya nyumba na kulala nae mpaka asubuhi kwakati me nk safari kibiashara adhabu yake ni nini? Hii ni pamoja kuvuluga mtaa yaani ametembea na marafiki zangu
Adhabu ziko mbili chagua moja...kumsamehe au kumpa talaka..
Kaka kwani na wewe ushawai kutoka nje ya ndoa?umewahi kutembea na rafiki zake?kama majibu yote hapo juu ni hapana then nakuunga mkono kuachana nae mana heshima ya ndoa si kutumia kitanda cha mke wako au mme wako na mtu mwingine na hata kama ukimsamehe nadhan ataendelea mana ndo tabia yake mana kutembea na rafiki zako ni aibu sana kaka na je hao rafiki zako hauwaonei aibu?Hauoni aibu kusimama mbele ya rafiki zako huku wakiwa wanamjua mke wako well and gd.
Better lay low
Haiwezekani kwa mwanamke kutenda hayo kama mwanaume huna tatizo. Ni bora ukajichunguza kwanza kama kibamia kinasimama na kama hakisimami jifanye huoni ili maisha yaendelee maana nayeye ni binadamu na kwako hakufuata kaka bali kibamia. Kama ni kaka alikuwa nao kwao.Mpaka mwanamke anafanya hivyo ujue wewe una tatizo.