Mke wangu usiku wa jana nusura aniue, angenipa kilema

Ila huyokuwa nae makini aisee, ameshajua udhaifu wako,,, siku akizing'ang'ania mzee unavuta fasta...
Kuvuta hapo ni ngumu, sasa kama wanawake wameshajua udhaifu wetu maana yake hata firsr lady akitaka kumpindua Rais(mumewe) si ni dk 0 tu??
 
Ila huyokuwa nae makini aisee, ameshajua udhaifu wako,,, siku akizing'ang'ania mzee unavuta fasta...
Mbali na hivyo, hata mke akitaka kumuua mume si ni dk 0 tu? Kuna haja ya viongozi wakubwa potential kutooa au kufanya mapenzi hovyo na kila mwanamke, kuepuka kuuawa kwa issues kama hizi.
 
Kuvuta hapo ni ngumu, sasa kama wanawake wameshajua udhaifu wetu maana yake hata firsr lady akitaka kumpindua Rais(mumewe) si ni dk 0 tu??
Ndio maana yake... ndo maana tukifa wanenepa na kuwa na afya bora kabisa kusini mwa jangwa la Sahara. We angalia wote Walioachwa na wakulungwa.
 
Pole sana mkuu, wanawake kweli akili zao ni fupi kwa kweli, yaani wanachekesha mno. Sasa anakubana shingoni alijua wewe ni mwanamke mwenzake utashindwa kujitoa au? wanawake bhana, halafu ukute hata kubana kwenyewe ni kidhaifu dhaifu tu hakuna weledi yaani bora liende tu.
Kwa jinsi alivyokuwa kanikaba shingoni Nilizan ntakutana na upinzan mkubwa sana lakin nilivyofanikiwa kumtoa mikono yake nilipga kirahis sana mpaka nkamhurumia.
 
Ndio maana yake... ndo maana tukifa wanenepa na kuwa na afya bora kabisa kusini mwa jangwa la Sahara. We angalia wote Walioachwa na wakulungwa.
Yes, ni kweli. Kuna haja wake wa viongozi wakubwa waangaliwe kwa makini mno, uhuru wanaopewa dhidi ya waume zao naona kama ni mkubwa mno hivi, kitu ambacho ni hatari pia.
 
Back
Top Bottom