Mke wangu nisamehe, nitadumu nawe mpaka utakaponichoka

Fanya hivi
1.Focus kwenye vitu vizuri ambavyo anakufanyia

2.Jivunie kupata mtu mwenye mapenzi ya dhati kwako
3.Fungua moyo wako umwingize,maana bado hujawahi kumweka moyoni muone km zawadi ambayo Mungu amekutunuku,maana yeye anajua vizuri tunavyostahili kuliko sisi tunavyovidhania

4.jifunze kumpenda,mtunze awe katika mwonekano unaoupenda utashangaaa anshaanza kukaa moyoni na utafurahia ndoa yako,maana mambo mengine mind set up tuu zinazofanya upende au usipende mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
USHAURI mzuri sijawah ona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika maisha nyakati hizi, ni vema sana ukipata mwanamke anayekupenda atleast unaweza kuwa safe kuliko hawa wa kuwalazimisha.
 
USHAURI WA KISHETANI HUU. HIVI UNAJUA HATA MAANA YA NDOA NA KUWA NA FAMILIA???!!

USICHANGIE TU KISA UNA BANDO UTAVUNJA NDOA ZA WATU.

WAKIACHANA UNATAKA AKUOE WEWE??!!
UNAMSHAURI AMUACHE MKE WAKE AOE MWINGINE UNADHANI ATAPATA TOFAUTI YOYOTE ZAIDU YA KUKUTANA TU NA MASLAY QUEENS WAMCHUNE MPAKA AKILI ZIMKAE SAWA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wow. Mkuu, punguza jazba. Jaribu kuheshimu mawazo mbadala. Kama mleta mada naomba ushauri hadharani basi anategemea chochote. Soma vema nilichoandika.... then rudia tena. Besides, sometimes tuwe tunaacha unafiki, if there's no love in marriage, then what? Ndo mwisho wa siku watu wanaweza kutafutiana sababu
 
Fanya hivi
1.Focus kwenye vitu vizuri ambavyo anakufanyia

2.Jivunie kupata mtu mwenye mapenzi ya dhati kwako
3.Fungua moyo wako umwingize,maana bado hujawahi kumweka moyoni muone km zawadi ambayo Mungu amekutunuku,maana yeye anajua vizuri tunavyostahili kuliko sisi tunavyovidhania

4.jifunze kumpenda,mtunze awe katika mwonekano unaoupenda utashangaaa anshaanza kukaa moyoni na utafurahia ndoa yako,maana mambo mengine mind set up tuu zinazofanya upende au usipende mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
asiposikia hapa ataangukia kwa wajasiramwili wamtese afe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom