dudupori
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 1,793
- 1,903
Kwan inatoa milio mzee?
tafuta vungu tee
tafuta vungu tee
Haohao waswahili walisema ukimchunguza sana Bata hutamla.Acha uoga. Waswahili wanasema "adui ukiisha mjua ni adui sio adui tena"
Napitaga sana tu niburudike na visa vya wakulungwa.Kumbe si mgeni sana mle