Mke wangu nimemleta jana ila mpaka saiv hajarudi nyumbani

ajakaa hata nusu siku keshajua ratiba zako zote polee keshaliwa uyo kimasihara,mchunguze kwanza shikilia simu yake kwa muda
 
We ulioa kochi kwmba ukirud ulikute tu vile vile, ngoja asalimiane kwanza na rafiki zake wa chuo kimoja cha chap kisha arud akute umempikia
Acha Kazi iendelee mda wao
 
mkeo ni mkuda sana nilkua nae ana sema hauna sauti ya kumfanya chochote
 
Knowing them =too late to act
Too late to act =astray in the darkness
Darkness =death yua welokam
I still don't know them and even think if I know them!.. mbele ya death tena mi siwajui mbona..😂
 
Back
Top Bottom