Mke wangu nimemleta jana ila mpaka saiv hajarudi nyumbani

trigger_

Senior Member
Apr 9, 2019
138
500
We ulioa kochi kwmba ukirud ulikute tu vile vile, ngoja asalimiane kwanza na rafiki zake wa chuo kimoja cha chap kisha arud akute umempikia
Acha Kazi iendelee mda wao
 
KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
20,197
2,000
Knowing them =too late to act
Too late to act =astray in the darkness
Darkness =death yua welokam
I still don't know them and even think if I know them!.. mbele ya death tena mi siwajui mbona..😂
 
Omerta

JF-Expert Member
Jan 3, 2016
4,745
2,000
Ukiskia ndoa ndoano sasa nimeanza kuiona

mke wangu huyu ni mpya kabisa ndoa haina mda, mimi ninafanyia kazi mkoa mwingime tofaut na tulipokua tunaishi sasa nilimtumia nauli aje huku jana tu ndio nimempokea stendi tena usiku

sasa cha kushangaza leo nimetoka kazini sijamkuta mpaka sasaivi saa mbili na robo usiku hajarudi namtafuta kwenye simu anadai eti amekutana na rafiki zake aliosoma nao ndo yuko anapiga nao story

ko mimi sasaivi niko napika

hizi si dharau za kisenge hizi?
Jana ulipompokea ulimto.mba inavyopaswa?
 
66KV

JF-Expert Member
May 16, 2014
680
1,000
Ukiskia ndoa ndoano sasa nimeanza kuiona

mke wangu huyu ni mpya kabisa ndoa haina mda, mimi ninafanyia kazi mkoa mwingime tofaut na tulipokua tunaishi sasa nilimtumia nauli aje huku jana tu ndio nimempokea stendi tena usiku

sasa cha kushangaza leo nimetoka kazini sijamkuta mpaka sasaivi saa mbili na robo usiku hajarudi namtafuta kwenye simu anadai eti amekutana na rafiki zake aliosoma nao ndo yuko anapiga nao story

ko mimi sasaivi niko napika

hizi si dharau za kisenge hizi?
Mzee wa ngebe
Akija mkate ngebe ,amezoea uhuru,huko alikotoka
Bado ana wenge ,

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom