Mke wangu ni mjamzito wa miezi 6, akiniona tu anatapika na chumbani amehama kabisa!

nitakeradhi mkuu. Hapa hatuongelei uzinzi! Mimi siyo mzinzi! Sijawahi kwenda huko unapoendaga wewe!!!:nono:

mpwa na wewe utaniwi kipindi cha uzee ulintania sasa zamu yangu nimerudi na mchina
 
Nakuomba rwadhi mpwa wangu turudi kwenye madahilo si la kushangaza ila omba sana mungu akupe uvumilivu ukiona yanakuzidi jifungie chumban mie yalinikuta mwanzo wa jan mpaka april na leo hii kila nikimwona mwanangu nacheka tu kama&*(*(*(*
 
nitakeradhi mkuu. Hapa hatuongelei uzinzi! Mimi siyo mzinzi! Sijawahi kwenda huko unapoendaga wewe!!!:nono:

kwi kwi kwi yamekuwa hayo mpwatuyaachie hapo unajua waka6i mwingine mungu anaamua kukutumia kuwapa watu wengine msg ..wako wanaotoka sana nje kipindi cha ujawepesi nikaona niwamege kupitia mtumishiwa mungu papeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
usijifungie chumbani we kuwa nae karibu sana, kama ni week end mwambie muende kutemebea kidogo hata kama ni umbali wa dk 10, mshike mkono, hugs, tell her you love her so much and you cant wait to meet the new born, mkate kucha, hivyo vitu vidogo dogo tu, kama unavuta sigara acha kabisa kwa kipindi hichi, kama wanywa pombe pungza, mpikie msosi mara chache, na kama unaenda job call her every 3 hrs to make sure that if everythign is fine etc. gd luk
 
Pole sana kwa hali inayokukuta,kama hali itazidi kuwa mbaya suluhisho ni kumpeleka kwa wazazi mpaka atakapojifungua na mambo yatarudi kama zamani,wanawake wengi wamekuwa na tabia tofauti tofauti wakati wa ujauzito na wakati mwingine huwa ni vigumu sana kudhibiti hali hiyo hasa kama mwanaume si mzoefu wa maisha ya ndoa.Huu ni wakati wako wa kutumia akili ya ziada katika kukabiliana na hili.

No no no..................usimpeleke kokote mkeo!

Mkuu HONGERA sana na welcome to the club; you need to experience that.................yeah ni life time experience; JUST Be there for her MAN thats the list you can do!
 
Pape vumilia ni hali ya kawaida after sometime itaisha na mtaendelea kufurahi, usimpeleke kokote kaa naye manake ukimpeleka mbali nawe ataanza kukumiss tena, it is like that, be patient even though it is hard time!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom