Mke Wangu Ni Mchawi Hatari,Nisaidieni Ndugu Zangu.

wiseboy.

JF-Expert Member
Aug 11, 2014
2,932
4,534
Wakuu Habari Hii Ni Kweli Kabisa Nami Nimeamua Kuileta Kwenu Kama Nilivyoambiwa Na Rafiki Yangu Ambaye Kila Siku Analia Na Amekata Tamaa Kabisa.Mara Ya Kwanza Nilipoambiwa Kuwa Mke Wangu Ni Mchawi Sikuamini Hata Kidogo Ila Kila Sehemu Habari Zilitapakaa Kuwa Ninaishi Na Mchawi,niliamua Kwenda Congo Sehemu Inaitwa Kalemii Ambako Ili Kupata Dawa Kwa Mganga Wa Jadi Huko Nilichanjwa Mwili Mzima Na Kupewa Dawa Ya Kupaka Machoni Inayoona Wachawi,niliporudi Nyumbani Niliiweka Machoni Hiyo Dawa Usiku Wa Manane Na Ndipo Niliposhuhudia Kwa Mara Ya Kwanza Jambo Ambalo Sitalisahau Maisha Mwangu,pale Kitandani Nikidhani Usiku Wote Ule Nilikuwa Namkumbatia Mke Wangu Kumbe Haikuwa Hivyo,fisi Mkubwa Ajabu Alikuwa Pale Kalala Nilipiga Kelele Kwa Hofu Wanangu Wakaamka Wote Sekunde Ile Ile Fisi Yule Akatoweka Na Mke Wangu Sikumuona Hadi Saa Kumi Alfajiri Nilipomuona Akirudi Akiwa Uchi Mwilini Kajipaka Dawa Nyeusi Alipogundua Nimembaini Akasema Lazima Nife,ndugu Zangu Nifanyeje? Dawa Niliyochanjwa Congo Ndo Inanilinda Sasa.
 
Acha u profesa wewe!
 
Mbona hata huyo rafiki yako anaonekana naye ni mchawi tu...
 
eti wiseboy na story za kutunga
 
Kwa kuwa hii ni sehemu muafaka ya kupeana ushauri, mimi nadhani ni busara ukaenda kanisani kama unaamini uwepo wa mungu wao watakuombea na watamuombea mkeo pia, na atarudi katika hali ya kawaida kabisa, cha msingi imani, ukikimbilia kwa mganga ni kwamba mtashindana kwa nguvu za giza na mwisho na wewe utakuwa mchawi utafiti unaonesha siyo wachawi wote walipenda kuwa hivyo wengine ni katika jitihada za kutafuta dawa na kujilinda ndio wakaangukia huko, amini katika uwepo wa nguvu za mungu na kwamba alipo bwana yote yanawezekana naamini utafanikiwa katika hilo. Sikushauri kurudi kwa mganga, ni ushauri tu mkuu, pole sana na mungu awe upande wako ili uweze kunusuru maisha yako na familia yako
 
mpeleke kwa michael Njoroge akaliwe hela haraka
 
Wakuu Habari Hii Ni Kweli Kabisa Nami Nimeamua Kuileta Kwenu Kama Nilivyoambiwa Na Rafiki Yangu Ambaye Kila Siku Analia Na Amekata Tamaa Kabisa.Mara Ya Kwanza Nilipoambiwa Kuwa Mke Wangu Ni Mchawi Sikuamini Hata Kidogo Ila Kila Sehemu Habari Zilitapakaa Kuwa Ninaishi Na Mchawi,niliamua Kwenda Congo Sehemu Inaitwa Kalemii Ambako Ili Kupata Dawa Kwa Mganga Wa Jadi Huko Nilichanjwa Mwili Mzima Na Kupewa Dawa Ya Kupaka Machoni Inayoona Wachawi,niliporudi Nyumbani Niliiweka Machoni Hiyo Dawa Usiku Wa Manane Na Ndipo Niliposhuhudia Kwa Mara Ya Kwanza Jambo Ambalo Sitalisahau Maisha Mwangu,pale Kitandani Nikidhani Usiku Wote Ule Nilikuwa Namkumbatia Mke Wangu Kumbe Haikuwa Hivyo,fisi Mkubwa Ajabu Alikuwa Pale Kalala Nilipiga Kelele Kwa Hofu Wanangu Wakaamka Wote Sekunde Ile Ile Fisi Yule Akatoweka Na Mke Wangu Sikumuona Hadi Saa Kumi Alfajiri Nilipomuona Akirudi Akiwa Uchi Mwilini Kajipaka Dawa Nyeusi Alipogundua Nimembaini Akasema Lazima Nife,ndugu Zangu Nifanyeje? Dawa Niliyochanjwa Congo Ndo Inanilinda Sasa.
mwambie anitafute,si anajua sana kuroga?aniroge sasa!
 
mimi, yeye, yule, "nukuu".
 
Pole sana Mkuu Wise Boy, jina zuri la wise kumbe jitu lenyewe ni lijinga hakuna mfano!, kwa kuanzia kuamini uchawi ni upungufu wa akili!, ulipokubali kuchanjwa mwili mzima, ndipo zile akili kidogo zilizobakia zikahamishwa na kushikiliwa na mganga, unapopaka hiyo dawa, unaingia kwenye hypnotism ya kuwa kwenye the highest state of mind suggestibility, ukishapaka tuu, akili zako zote zinahama unabaki totally empty, chochote mganga atakachofikiria ndio wewe utakiona!, akiamua umuone mwanao ni nyoka!, utamuona ni nyoka!.

Achana na upuuzi huo wa kuamini uchawi!, yaani lijitu ni lijinga ajabu linakubali kuondaka nchini kwake hadi Kongo eti kumfuata mganga?!.

Ama kweli kuwa kichaa, sio lazima mpaka mtu akaokote makopo!.

Pole!.

Pasco
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom