Mke wangu kanitoroka kisa kubadili Dini

eg 29 wewe, yeye eg 26 maana yake nini!?

Hivi nyinyi mmeshaona dini ndio maisha ee? Huo upumbavu wa kuwatenganisha sijui mimi wa dini fulani siwez kuoa au kuolewa na wa dini fulani mnautoa wapi!?.

Niwaombe wazazi wote, wafundisheni watoto wenu hasa wa kiume kuwa na maamuzi Thabiti.

Maamuzi hayo ndo kama yapi Mkuu ?
 
Kweli humuweka mtu huru siku zote ulitakiwa kumwambia ukweli mapema, Dini ya kweli na ya haki anaijua Mungu mwenyewe, Mungu akusaidie huenda akabadili mawazo mkarudiana.
 
Unaishinae, unazaanae, unataka bado umuowe na isitoshe ni kafiri na bado unaomba ushauli wa kwenda church kumuoa wakati wewe ni muisilamu!!!! Unashangaza sana kijana,,, mapenzi yamekutia upofu, sitoshangaa uka-ritadi kwa sababu ya uyo dada wa kikafiri.


ولا تقربوا الزنا انه كان فاحشة وساء سبيلا

Waislam na ukafiri..sijui aliwapa nani hilo jina
 
Badili tu dini Kaka Mimi mwenyewe nimepata mchumba wa kiislam anataja anifanye nibadilishe kutoka John niende kuwa Adinani..mapenzi Yana nguvu sikucheki ila kuhusu ye kukusamehe sijui ila we badili Kisha mfuate akizingua Basi sio case rudi kwa muhamad Kwanza sio dhambi kubadilisha dini Kama peponi utaenda utaenda tu bila kujali dini
Usimdanganye. Kuingia Mbinguni kwa Mungu ELOHIM aliyeumba Mbingu na nchi, hakuingiwi kwa mob psychology. Kule wanaingia waliooshwa dhambi zao kwa Damu ya Yesu Kristo tu!. No more no less. Ukimkiri Bwana Yesu kwa kinywa chako na kuamini kwa moyo wako kwamb Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka. Kinyume cha hapo, wala matusi, wala kampani za wafariji, wala kutokujau kweli, wala kuchanganyikiwa, wala dini wala ufalme, wala kitu chochote hakitakuokoa. Asema Bwana.
 
Tatuzi la hawa watu, wako sawa na watu wengine wasiomjua Mungu. Tofauti yao ni hasira, ukatili, matusi, chuki, wivu, kukata tamaa kwa kutokujua hatma ya kile wanachokiamini. Waambie wamwamini Yesu, naye atawapumzisha. Allipobambwa mtini, akadhalilishwa, akapigwa, akatukanwa, akafanyiwa kile namna ya mateso, akafa, alilipa deni ya adhabu iliyokuwa inamkabili mwanadamu kwa ajli ya dhambi. Alipofufuka, alishinda na sasa yuko hai milele. Kila mweny ekusumbuka na mzigo wa dhambi, aje kwake naye atapata pumziko moyoni mwake. Hawa watu wamekosa pumziko. WAnahitaji kuokolewa. Kristo Yesu alikuja kwa watu wote.
Waislam na ukafiri..sijui aliwapa nani hilo jina
 
Habari wana jamii forums mimi ni Kijana eg yangu
29 nilianza mahusiano na mwana Dada eg 26
Tulianzisha mahusiano mwaka 2015 tukiwa Dsm

Tulifanikiwa kupata mtoto wa Kike mwaka huo huo

Lakini kwa kuwa nilikuwa nataka kumpata anikunalie nilimdanya jina na
Dini yangu ili akubali

na sikujua kama nitaishi naye miaka mingi
Nilimwambia naitwa Rich
ni mkiristo ivo ikawa rahisi kuwa naye pia

Lakini kadiri muda unavyokwenda alikuja jua ukweli na nilimwambia anisamehe maisha yakaendelea

Nilienda kwao nikatoa Mahari nusu ila walijua Dini
yangu wakati wa Mahari 2016 na walinipokea

Yeye alipendelea sana kwenda kanisani na hakutaka kuwa mbali na Maombi

Ilifika kipindi anataka nimuoe lakini alitaka nimuoe kupitia Dini yake dhehebu Anglican

Nilimzungusha sana ila nilikuwa nampenda sana hata yeye alinipenda sana
Sijawahi hata ona mwanaume akipita pita kwake

Miaka niliyoishi naye imetosha kumuamini lakini kilichokuja kuleta tofauti ni Dini tu

Kuna kipindi nilienda nae kanisani kwao kwa mchungaji wake nikaomba anipe muda wa kufikiria ili swala la kubariki ndoa nikapewa muda wa kufikiria

Lakini haikutosha nikaja kuongea na Mke nikamwambia naona ubadilishe wewe au tukafunge ndoa ya Kiserikali hakunijibu ila alionekana kukasirika sana

Mwisho wa siku nilikuwa ofisini yeye anafanya kazi sehemu nyingine kwa hiyo tunatofautiana kurudi

Nilikuta kachukua vitu vyake tu kaondoka nikamtafuta akaniambia unavyoona ndo ivo nimechoka ruhusu maisha mengine yaendelee

Kwa kweli nilichoka sana niliumia mno ukizingatia alinivumilia sana kwenye shida nyingi nilizopita nae ila now sipo nae

Nilimtumia mesej na nikaongea nae pia kuwa nipo tayari kufanya ivo na nikaenda kwa mchungaji nikamwambia maoni yangu

Lakini yeye anasema hata ukija church siwezi rudi kwako lakini kwa moyo wangu najua ana hasira sana na mimi

Na kwao niliwaambia kuhusu kuondoka kwake pia
wakasema wataongea naye lakini hawakurudisha majibu sahihi

Sasa ndugu zanguni msinicheke kwa Mapenzi yangu ila naomba mnishauri je anaweza rudi nikamuoa nikienda church kwao? au ndo kama alivosema hata nikienda church kwao harudiani na mimi nitafute msichana mwingine wa kumuoa?

Naombeni ushauri nd
 
Usibadili dini kwa sababu ya Mapenzi Mungu akuepushe na Chetani anayetaka ubadili dini ya haki
Mapenzi yanaonekana...Mungu je?
Yani aache kuishi Kwa furaha leo kisa anafuata maneno ya 'manabii' waliokufa miaka 2000 iliyopita
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom