Mke wangu kanisave "Mbwa" kwenye simu yake

Wanaume wote ni mbwa.
Sio maneno yangu lkn.....
IMG-20240202-WA0001.jpg

Do i look fresh,rafiki?😅
 
Angalia vizuri utakuta lingine la Baby au My love
Ndio lililopelekea wewe ukaitwa Mbwaa kwani Hamuwezi pedwa 2 never wanawake hawapo hivyo
 
Tulikuwa na safari ya kwenda TABORA ambapo ndo kwetu nilipozaliwa sasa tuliamka alfajiri ili tuondoke kumbe first born wangu aliiba simu ya mama yake ambae ni mke wangu jana usiku ili acheze GAME akaenda nayo chumbani mwake ambapo kuna smart TV ambayo ina Account ya NETFLIX na Laptpot na DESKTOP maana nina muandaa dogo awe expert kwenye field ya Film theater and make up japokuwa anapenda movies za ANIMATIONS.

Anyway baada ya kuitafuta kwenye master bedroom yetu hatukuipata ndipo nilipo muambia mke wangu ai Beep kwa simu yangu huku mimi nimejiongeza kwenda kwenye room ya mpenda ma Game first born a.k.a my son ndipo nilipoikuta simu inaita ila jina limedisplay “MBWA” . NILIIKUTA SIMU ILA JINA NILILOSEVIWA LILINIKATA MAINI SANA NILIANZA KU REVIEW MENGI MNO AMBAYO YANAFANANA NA MIMI KUSEVIWA MBWA ILA SIKUPATA JIBU.

Mpaka sasa nipo nae TABORA, nimekosa raha nimeshindwa hata kumuuliza kwa sababu najiuliza nianzie wapi nakosa majibu.
Mwache TU aende TU mkuu!!
 
kama siyo chai wewe ni mbwa kweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom