Mke wangu hatimizi majukumu yake ya nyumbani ipasavyo

Kazi za nyumbani zinachosha mnoo hasa ukiwa na watoto wadogo huwa unafika wakati mama hata ukiona uchafu Wala hutamani kuutoa asee inawezekana Ni mvivu lakini kaz nazo zinachosha Sana jaribu kwanza kuzungumza nae Kama Hali ikiendelea mtafutie msaidizi
 
Sasa unataka tuje kufua na kufanya usafi kwako au unataka nini?
Nachokiona hapa ni ujinga wako tu

Achaneni simple like that
Kama. Mtu hakidhi matakwa yako tafuta mwingine
 
Kazi za nyumbani zinachosha mnoo hasa ukiwa na watoto wadogo huwa unafika wakati mama hata ukiona uchafu Wala hutamani kuutoa asee inawezekana Ni mvivu lakini kaz nazo zinachosha Sana jaribu kwanza kuzungumza nae Kama Hali ikiendelea mtafutie msaidizi

Ana watoto wawili na lazima ni wadogo wanaohitaji usaidizi 100%. Hapo wakati mume anamka anaoga na kwenda kazini mke anaanza na
.asafishe nyumba
.kuweka watoto kwenye pot wajisaidie
.anawaogesha
.awapikie
.aanze kuwalisha, wakiwa wasumbufu kama wangu inaweza chukua 2hrs
.kabla hawajamaliza kula watapike, aanze tena kuwalisha.... hiyo ni saa nane mchana
.ajitaftie yeye chakula
.aoshe vyomo
.asafishe nyumba tena maana washatapika, washajisaidia, washamwaga vitu
.kama maji hayapo ndani akachote yanakopatikana
.aende gengeni kununua mahitaji
.arudi akute wamejisaidia aanze kuwasafisha
................
...............n.k
Jioni anakua kajichokea hata hamu hana yello masai

Hivi vitu vinaonekanaga vidogo ila vinachosha na vyote vinatakiwa kufanyika kwa ukamilifu 100%
 
Una haingaika nn we jamaa hela si unatafuta ww? Kula huko huko ukirudi om jifanye huna time na msosi wa om then tafuta ka bby mama mitaa ya mbali pa kwenda kupumzikia ugwadu ukikuzidia
 
Ana watoto wawili na lazima ni wadogo wanaohitaji usaidizi 100%. Hapo wakati mume anamka anaoga na kwenda kazini mke anaanza na
.asafishe nyumba
.kuweka watoto kwenye pot wajisaidie
.anawaogesha
.awapikie
.aanze kuwalisha, wakiwa wasumbufu kama wangu inaweza chukua 2hrs
.kabla hawajamaliza kula watapike, aanze tena kuwalisha.... hiyo ni saa nane mchana
.ajitaftie yeye chakula
.aoshe vyomo
.asafishe nyumba tena maana washatapika, washajisaidia, washamwaga vitu
.kama maji hayapo ndani akachote yanakopatikana
.aende gengeni kununua mahitaji
.arudi akute wamejisaidia aanze kuwasafisha
................
...............n.k
Jioni anakua kajichokea hata hamu hana yello masai

Hivi vitu vinaonekanaga vidogo ila vinachosha na vyote vinatakiwa kufanyika kwa ukamilifu 100%
Hahahaha hakika nimecheka wanaume wanadhani Ni rahisi Sana Ila malezi Ni kazi ngumu sana Mimi min mmoja lakini show ntaiona vizuri tu Kama una mkono mwepesi unapiga vitoto Hadi unalia mwenyew jamani tuhurumiane tu
 
Na ndio maana anaamka saa tatu. Maana analala hoiiii
 
Hata Mimi sipendi kufua, nguo hazijawahi isha. Ukiona sifui nguo ipasavyo nyanyua majeans yako kafue mwenyewe.
Mnunulie washing machine.
Na ndio maana anaamka saa tatu. Maana analala hoiiii

Nakumbuka tulikua nyumbani kwa wazee likizo na ndugu zangu baba akawaangalia wakwe zake weee nikasikia anawaambia wanawe wa kiume, wake zenu watakua wanachoka sana wataftieni wasaidizi

Mimi nikajichekea nikasema mzee mzima kaona wakweze watakufa na uzazi wao wa kutwa mara3

😃😃😃
 
Back
Top Bottom