Mke Wangu Hataki Kuendesha Gari Linalotumia Mfumo Wa Manual

Nangisye

Member
Dec 6, 2006
14
1
Ndugu Zangu Mimi Namshaurui Mke Wangu Ajifunze Kuendesha Kwa Mfumo Wa Manual Sio Automatic Kwa Sababu Utamfanya Aendeshe Azoee Mifumo Yote Miwili Nisaidieni Nifanyaje Anielewe?
 
ha ha ha yaani wewe humjulii mwanamke jamani? Yaelekea humwambiii kihuba. Watakiwa unamwambia wakati ambao ni muafaka, umerudi nyumbani umeoga umekula mko chumbani kama sio mwaangalia tv basi mwabadilishana mawazo.

Unaanza huvi unajua mke wangu unapendeza sana ukijua kuendesha manual na automatic maana siku naumwa umezimwa manual si nitakufa mme wako utapata wapi mwingine. Natumaini kama kweli mko kwenye mapenzi lazima akuelewe.

Sio we mama nanii si kila siku nakwambia mie kuwa ujifunze manual, hata kama mimi lazima nibishe sitakubali mwakwetu weee.

Najua bado una uwezo wa kufanya ajifunze manual.
 
naungana na colleta
jaribu kummwagia mahaba ili akubaliane na malengo yako, kama umeshindwa omba ushauri kwa BRAZAMENI
 
Mnajua anacho maanisha hapo??haamaanishi gari kama gari mmh! kalaga baho mke hataki manual anataka automatic........manual ni kazi sana kujifunza kuliko automatic kwani unacheza na vitu vingi kidogo...
Hayaaaaaa mambo yetu yaleeee ya mwambao ni mambo ya longa longa time..!
 
amaaah!!fidel hebu tufungue macho wengine maana bado wengi tumeachwa njia panda kumbe hapa hamuongelei gari toyota wala nissan??
 
amaaah!!fidel hebu tufungue macho wengine maana bado wengi tumeachwa njia panda kumbe hapa hamuongelei gari toyota wala nissan??

ahahahahah, wa also thinking abt cars, lol, mna misemo nanyi!!!!
 
Very interesting to knw what is manual na automatic...might be very good lesson.
 
kama hataki manual wewe nsida yako nini wewe mpe Auto tu mwanawane ashikilie stelingi tu hakuna kuangaika na gear.Ila mkuu mwambie aangalie auto huwa inamatatizo sana kama mafuta kibaba basi aishikiki
 
kuna watu walidhani magari hapa.... hehe
enewei nangisye jaribu kubadili gia box uone kama hatoendesha manual au ukichelea atanunua gari yake halafu kukawa kusitishe hapo
 
amaaah!!fidel hebu tufungue macho wengine maana bado wengi tumeachwa njia panda kumbe hapa hamuongelei gari toyota wala nissan??

hapo mkuu ni sanaa tu imetumika mkuu kufikisha ujumbe ktk jamii...na si baloon au starlet au escudo......
 
Du!!! Kama ni sanaa hii imetulia kweli hata mi nilijua hapa ni mambo ya Mark II na Corola...Si mchezo. Mkuu mfundishe taratibu tu hakuna kinachoshindikana chini ya hili jua...Kwiii!!...kwii!!! kwi!!!
 
Tehe tehe...nilipoona maelezo ya Nangisye nafsi ilisita kukubali kama kweli na kama gari analo maanisha, by the way gari tamu manual bwana, embu mwabie mafuta yamepanda bei na ku-balansi mafuta kwa automatic ''utata'', akigoma niite kungwi nimfunde.....!!
 
jamani sasa bado sijawanyaka vyema yaani ina maana huyo mama ye hapendi kula pipi na maganda yake ama?maana wengine tu wagumu kuelewa alafu wepesi kusahau!!
 
salaaaale,

mmeniacha njia panda! ...manual na automatic ndio nini hayo tena yarabi!? kesho keshokutwa nisijezabwa kofi na mamsapu kisa namlazimisha hiyo 'manual' buree! ha ha haa...
 
Ndugu Zangu Mimi Namshaurui Mke Wangu Ajifunze Kuendesha Kwa Mfumo Wa Manual Sio Automatic Kwa Sababu Utamfanya Aendeshe Azoee Mifumo Yote Miwili Nisaidieni Nifanyaje Anielewe?

yakhe, ebu nielekeze kwako ili nije kumshawishi na kumfundisha kuendesha manual.... nitajitolea kumfundisha bure yakhe na tena usiwe na wasi wasi wowote ntachunga mzigo wako ! taratibu ndo mwendo na hakika yeye atafika tu.
 
Ndugu Zangu Mimi Namshaurui Mke Wangu Ajifunze Kuendesha Kwa Mfumo Wa Manual Sio Automatic Kwa Sababu Utamfanya Aendeshe Azoee Mifumo Yote Miwili Nisaidieni Nifanyaje Anielewe?

Nangisye,
Mimi nashauri kwa jumla kuw hii forum inahitaji kuletewa problems ambazo ni worth adising, na si kila ktu. Maana sasa tukiendelea hivi itafikia kipindi mtu ataleta problem mathalani "mke wangu kiatu chake cha mguu wa kushoto kimembana, nifanyeje ili kutatua tatizo hili?". Are these sort of quetios/problems worth forwarding to an importatnt forum like this one?
Samahani km nitakuwa nimekughasi kias fulani!
 
Kwa haraka haraka i think huyu jamaa anamaanisha kuwa mke wake hataki zile pilika pilika za kuchezea 'gia' kabla ya game,yeye anataka auto kwamba ukianza safari ni moja kwa moja mpaka unafika
 
kwa nini kutaka kumrudisha mkeo karne moja nyuma? Kadri siku zinavyokwenda hata hizi automatic transmissions zitakuwa hazifai, labda tutaendesha magari kwa kubonyeza vitufe tuu..
 
Back
Top Bottom