Mke Wangu Hataki Kuendesha Gari Linalotumia Mfumo Wa Manual

ha ha ha yaani wewe humjulii mwanamke jamani? Yaelekea humwambiii kihuba. Watakiwa unamwambia wakati ambao ni muafaka, umerudi nyumbani umeoga umekula mko chumbani kama sio mwaangalia tv basi mwabadilishana mawazo.

Unaanza huvi unajua mke wangu unapendeza sana ukijua kuendesha manual na automatic maana siku naumwa umezimwa manual si nitakufa mme wako utapata wapi mwingine. Natumaini kama kweli mko kwenye mapenzi lazima akuelewe.

Sio we mama nanii si kila siku nakwambia mie kuwa ujifunze manual, hata kama mimi lazima nibishe sitakubali mwakwetu weee.

Najua bado una uwezo wa kufanya ajifunze manual.

Colleta kweli we mkali, anzisha darasa la mahaba hapa tuje kupata tuition.
 
Ndugu Zangu Mimi Namshaurui Mke Wangu Ajifunze Kuendesha Kwa Mfumo Wa Manual Sio Automatic Kwa Sababu Utamfanya Aendeshe Azoee Mifumo Yote Miwili Nisaidieni Nifanyaje Anielewe?

Ukiendelea kushindwa kabisa niletee nimfundishe...jinsi ya kukalia gea vizuri..
akirudi Nyumbai analia nafikili atakua ameshaelewa nini unataka kumsaidia!!

we mlete tu husi hofu!! we nikabidhi kazi zote nitamfundisha!!-
 
jamaniii aliyetuletea hii mada tuiongeleee mboni hajajibu swali letu la msingii???hilo gari manual na automatic anamaanisha nini maana nimepata majibu mawili kuhusiana na hiyo topic ila yametofautiana sasa namuomba tasaaaafali aje atuambie mke wake huyo hataki kuendesha automatic ipiiii??????mercedez benz ama bwm???maana mwatuacha njia panda wengine hata hatuelewi kiswahili kilichofumbwa hapo!
 
hahaha fidel80 nashukuru kwa ufafanuzi wako maana mie nilikuwa gizani kabisaaaaaaaaaaa duh kaazi kweli kweli
 
he makubwa, unaemjua mkeo ni wewe, bora uwe muwazi kwake na umuulize yeye mwenyewe kwanini hataki whatever unachotaka. Kama mnapendana au mnajenga upendo wenu, ninauhakika utapata jiu sahihi zaidi kutoka kwake mwenyewe kuliko sisi wote humu tukikujibu. Jiweke katika nafsi ya kumjali, muulize kwa upendo, na msikilize jibu lake, cheki nae kwa kurudia jibu lake kama kweli umemuelewa, si rahisi kama ninavyoandika lakini ni muhimu sana 'kumsikiliza' mwenzio anachotaka na umpatie, in the course atakupatia kila unachotaka(kama si selfishness inayokudrive)
 
ha ha ha ha kazi kwelikweli kumbe manual ya hivyo uwiiiii sikuwa na habari basi inabidi na mie nifatilie kwa karibu ili nilichambue hili somo la manual na automatic. Watu mnajua kubadili topic aminia.
 
Nimeufuatilia huu mjadala wa MANUAL nA AUTO na umenistua, au kwa kuwa mimi ni wa mwaka 47 na hivyo haya mambo ya dot com yananipita kando. Naungana nawe dada Colleta, nami nafuatilia kwa karibu ili nilichambue hili somo la manual na automatic, na nisingekuwa nimelelewa katika maadili ya Kiafrika ningewauliza wanangu wanielimishe kuhusu mada hii. Kwa kuwa nimefundwa, basi mjadala huu watosha kunibadili toka kizazi cha mwaka 47 hadi cha dot com.
 
ha ha ha ha kazi kwelikweli kumbe manual ya hivyo uwiiiii sikuwa na habari basi inabidi na mie nifatilie kwa karibu ili nilichambue hili somo la manual na automatic. Watu mnajua kubadili topic aminia.

Mbona ulichangia kiutaalam pale awali??? aminia kuwa alikuwa anaongelea mikito na siyo milio ya gari....

Ingiza GIA mama usihofu, na ujue manual unasaidia kudhibiti gia na kuconcentrate na gari ila manual huwa hain care maana unajua ukiingiza gia inajiendesha yenyewe...
 
hahaha fidel80 nashukuru kwa ufafanuzi wako maana mie nilikuwa gizani kabisaaaaaaaaaaa duh kaazi kweli kweli

ndo hivyo dunia sasa inabadilika kila kukicha wengine wanapenda manual wengine hali kadhalika auto kwa hiyo twatofautiana sana.
 
Naomba tusipindishe maneno hapa, huyu jamaa ana maanisha Gari na wala sio kitu kingine. Kama ni kitu kingine basi angesema.

Ni kweli baadi ya wanawake wakiwa nje ya ndoa ni wepesi wa kushaurika,kukubali wanachoambiwa,kushauriwa n.k, lakini wakishaolewa na kufunga pingu za maisha ni wabishi sana mfano hakuna.Leo unamwambia ajifunze mifumo yote ya uendeshaji gari anakataa, usipokaa sawa anaweza kukunyima hata unyumba au akakusingizia kila siku amechoka.

Cha msingi una kura ya Turufu, inabidi utumie ubabe kama Bush la sivyo ubeijing utakusumbua. Baadhi ya makabila yanafikia hata hatua ya kuchapana viboko. Mimi nakushauri mweke kati vizuri asikuletee utani, inawezekana hata hela za kujifunza ni wewe unazitoa. Wakati mwingine katika familia bila kutumia ubabe kidogo mambo hayaendi kabisa. Kama kuna mtu mme yeyeyote atabisha basi itabidi nishangae Sana.

Mweke Kati, tumia akilia atakubali, sitegemei vitu kama hivi vitamshinda mwanaume wa shoka.
 
...Gari unalosema wewe jamaa hajanunua na wala hana....
hapa ni gari la kuendesha only two na si zaidi ya hapo.....
 
Jamani hebu tufafanunulieni hili 'gari' am totally lost, na kama ni gari gari basi haifai kuwa hapa hii thread. mara ni gari mara sio gari, ni lipi? haya mafumbo yamezidi jamani!wengine we deal in black and white....

call a spade a spade not a big spoon...
 
Ni kweli,unajua bwana hawa watu wanapenda vitu simple/rahisi kwao ili aweze kumudu haraka na kuanza kutesa.Mfano ukimwambia afanye kitu ambacho ni complicated kidogo utasikia malalamiko,aaahhh hichi/hii ni kwa wanaume;mimi siweze wakati ukweli akiamua anaweza kama mwigine.
 
Jamani hebu tufafanunulieni hili 'gari' am totally lost, na kama ni gari gari basi haifai kuwa hapa hii thread. mara ni gari mara sio gari, ni lipi? haya mafumbo yamezidi jamani!wengine we deal in black and white....

call a spade a spade not a big spoon...

Gari linalozungumziwa hapa ni lile la UKANDAMIZAJI yaani kuwasha mwenge na kuukimbiza usiku kucha...

Shishi mwaga hekima hapa tuzifaidi kuhusu ujuavyo kuendesha gari la mahaba...
 
dah,jamaa hamueleweki,mie nimefuatilia mwanza hadi sasa lakini sijaelewa ndio maana hata kuchangia siwezi,huu ni wakati wa muhusika kutoa maana ya hizi tafsida zake maana naona hata wachangiaji wanaguess maana halisi ya hiyo manual na auto.ila jamaa wanaodai hii manaul na auto zina uhusiana na mahaba kama wanaelekeaelekea
 
kama wanaelekea lakini naona hata wao wenyewe wanatok na ku guess pande mbili tofauti ndo maana mie nikamwomba aliyetuletea hii topic aje atuambie haswa manual na auto anayofight na mkewe ni ipi???
 
Back
Top Bottom