Mke wangu hanitaki

Ifururu

JF-Expert Member
Dec 28, 2017
547
622
Msaada,

Kila nikimkanya au kumuonya mke wangu kuhusu jambo fulani baya anakimbilia kusema tuachane nimechoka.

Sasa kauli hizi zinanichosha sielewi ana lengo gani maana hatutoweza kupanga lokote lenye manufaa.

Haupiti mwezi hatujagombana labda nikubali kuwa bwege ila mambo mengine roho inauma.

Unakuta watu wanamtongoza ukimwambia awe makini anakuuliza "mume wangu huniamini"
 
kuna shida hapo mkuu... hebu tuambie wasifu wa mke na mazingira mliyooana ilikuwaje tukusaidie..!!!
 
Mkuu hivo ni viashiria vya kuto kukutaka tena, haijalishi sababu zinazomfanya awe hivyo.

Mwanamke makini hujaribu kutafuta suluhisho la matatizo yanayotokea ndani ya familia yake, hebu muache atembee mkuu aaakusumbua sana kichwa huyo. Unless kama upo katika mazingira ambayo huwezi kumuacha na hilo utueleze tujue tunakushaur vipi.

Pole sana lakini mkuu
 
Msaada kila nikimkanya au kumuonya mke wangu kuhusu jambo fulani baya anakimbilia kusema tuachane nimechoka..sasa kauli hizi zinanichosha sielewi ana lengo gani maana hatutoweza kupanga lokote lenye manufaa.haupiti mwezi hatujagombana labda nikubali kuwa bwege ila mambo mengine roho inauma...unakuta watu wanamtongoza ukimwambia awe makini anakuuliza "mume wangu huniamini"
Una hela?
Hamna mkate mgumu mbele ya chai. Pata hela mzeee, tabia yake itarekebika automatically. Usifanye mchezo Na upako wa fedha
 
Kuwa mke wako, it does not mean kuwa mnatakiwa mng'aniniane weee... Mzee kama ni muislam oa wa pili, ndio matumizi ya hiyo sunna bhana ahahaha
 
Mkuu hivo ni viashiria vya kuto kukutaka tena, haijalishi sababu zinazomfanya awe hivyo.

Mwanamke makini hujaribu kutafuta suluhisho la matatizo yanayotokea ndani ya familia yake, hebu muache atembee mkuu aaakusumbua sana kichwa huyo. Unless kama upo katika mazingira ambayo huwezi kumuacha na hilo utueleze tujue tunakushaur vipi.

Pole sana lakini mkuu
Thats true man. Sometimes some woman are not in control of their own emotions.
Muda mwingine mwanamke anafanya hivyo akidhani anamkomoa mumewe au ana mrekebisha lakin kumbe ndio anaharibu sana.

Solution kwa jamaa afanye maamuzi magumu . Dawa ya mwanamke anaye ku desperect ni mwanaume mwenye maamuzi.
 
Achana naye!
Tupa kule Haraka sana!
It’s a wonderful world
 
Thats true man. Sometimes some woman are not in control of their own emotions.
Muda mwingine mwanamke anafanya hivyo akidhani anamkomoa mumewe au ana mrekebisha lakin kumbe ndio anaharibu sana.

Solution kwa jamaa afanye maamuzi magumu . Dawa ya mwanamke anaye ku desperect ni mwanaume mwenye maamuzi.
Sure sure! Nlimshauri that guy toka kipindi hiko kwamba huyu mwanamke muache, hakunielewa. Its more than a year now, like a month ago nimekwenda nyumbani kwao nkalala huko (maana ni ndugu) nkakuta yule mwanamke anamuaga mumewe kwamba anaenda party ya kazini inaanza saa tatu usiku na hatochelewa kurudi mpka saa sita hivi atakuwa kasharudi. mshkaji linakubali huku linasononeka me nkaliangalia tu na uzwazwa wake
 
Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom