Mke wangu hajarudi hadi sasa hivi

MusuKuma

Member
Jan 30, 2021
33
87
Huu niuzi wa ukweli.

Mkewangu Jana tulikwazana na msababishi ni yeye Tena alinikwaza kwelikweli.

Basi asbuhi kaamuka nakutokomea kusikojulikana , nimejaribu kumpigia simu bila mafanikio ,hakuweza kujibu Wala kupokea jumbe.

Hadi saivi hajaja nyumbani nimeambiwa tu yupo kwa Kaka yake nahuyo Kaka yake hatujawai kumuona asee naandika hapa Ila nashindwa nina hasira.

Sijui nifanyeje
 
Pole sana, atarudi ila ndo hivyo tena atakuwa anarudi kutoka kwa kaka.
Wanawake wenye akili na wanaowajali waume zao na wasiotaka ndoa ivunjike huwa wanakimbilia kwa wakwe sio kwa kaka. Ss huyu wako itakuwa kaamua kufanya anayofanya.
 
Si yuko kwa kaka yake..!!na hajakwambia??!na yeye ndo mwenye makosa!piga kimya.

Ingia bafuni,ofa,vaa vizuri nukia nenda karuke kwanja huko rudi zako nyumbani mida ya wanga au au asubuhi kabisa .usimtafute .wakati mwingine sisi huwa tunatingisha kibiriti.ishini nasi kwa akili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom