Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,353
- 8,464
hakuna kitu kama hicho yani mtu asijali hata watoto wake kisa mwanaume kachangia hapana, huyo ni hajielewi.Mpaka kafika huko kuna sehem na wewe umechangia yeye kuwa ivo

Fuata huu ushauri utakuja kutushukuru humu.👍Ana umri gani huyo mkeo? kama ni kizazi cha instagramu na fecebook kazi unayo hapo ni wewe mume kuwa mbogo tu na sometime akiwa haelewai kwa kauli zako inabidi na makofi yahusike kidogo maana huyo inaonekana hana hofu na wewe kwa sababu anjua humgombezi, Kung’uta huyo akili imkae sawa
Mie nahisi kuna kitu kinamsumbua kama vile ana msongo wa mawazo. Ana furaha muda mwingi? Hajawahi kukushirikisha jambo lolote labda ambalo unahisi linaweza kua linamkosesha furaha??kipindi nakutana na huyu mama watoto wangu kwanza nilikuwa bado nasoma wakati tayari yeye ana kazi yake. Naweza nikasema alinipenda from the scratch sikuwa na kitu wala muelekeo wa kuwa na kitu(kama ilivyo kwa vijana wengi wa vyuoni),,, baadae akapata ujauzito akajifungua akiwa kwao na akaendelea kukaa kwao, Nilipomaliza chuo nikapata ajira za hapa na pale nikaona sio mbaya nikalipa mahari nimchukue mzazi mwenzangu kwakuwa tumefahamiana kwa muda mrefu na tayari alikuwa na ujauzito wa mtoto wetu wa pili, Kwahyo rasmi nimeanza kuishi nae huu ni mwaka wa pili sasa naishi nae, kwa maadili ya kwao ni mtu alienyooka sana maana nyumbani kwao hawataki mambo ya kipumbavu,,,sasa nashindwa kuelewa hizi tabia anazonioneshea amezipata wapi maana sio mtu wa mitandano na hana marafiki zaidi ya wale aliokuwa anafanya nao kazi enzi hizo ambao anaongea nao tu kwa simu. Routine yake anashinda home mara nyingi from monday to monday, hata akiulizwa mji umekaaje hajui kabisa maana huwa hatoki.
KWAKWELI AM CONFUSED
Naomba namba zakeHabari wana JF!
Ebu wadau naombeni ushauri wenu. Nina mke na watoto wawili. Mke wangu ana changamoto moja hataki kupika na pia hajali watoto. Yaani tunaweza kukaa siku mbili tatu tunakula mikate na chai tu. Na yeye ni mama wa nyumbani sio kwamba ana shughuli kivile za kumkwamisha yeye kupika HAPANA.
Nikimwambia kwanini hapiki anadai sijaenda sokoni kununua vitu (asa nawaza si yeye ni jukumu lake kwenda sokoni) maana pesa za biashara tunazofanya ni yeye anashika kwahiyo sio kwamba haendi kwasababu hana pesa.
Kuhusu watoto ndio kabisa hawalishi wala hawaogeshi, na watoto ni wadogo chini ya miaka 5. Yaani watoto wasipojipambania wenyewe kula ndio basi hawali.
Kuna saa nakasirika kinoma lakini nakosa namna. NIFANYEJE
Kabla ya kumlaumu tukushauri uangalie afya yake ya akili kwanza.Habari wana JF!
Ebu wadau naombeni ushauri wenu. Nina mke na watoto wawili. Mke wangu ana changamoto moja hataki kupika na pia hajali watoto. Yaani tunaweza kukaa siku mbili tatu tunakula mikate na chai tu. Na yeye ni mama wa nyumbani sio kwamba ana shughuli kivile za kumkwamisha yeye kupika HAPANA.
Nikimwambia kwanini hapiki anadai sijaenda sokoni kununua vitu (asa nawaza si yeye ni jukumu lake kwenda sokoni) maana pesa za biashara tunazofanya ni yeye anashika kwahiyo sio kwamba haendi kwasababu hana pesa.
Kuhusu watoto ndio kabisa hawalishi wala hawaogeshi, na watoto ni wadogo chini ya miaka 5. Yaani watoto wasipojipambania wenyewe kula ndio basi hawali.
Kuna saa nakasirika kinoma lakini nakosa namna. NIFANYEJE
KabisaSikuhizi kuna baadhi ya wanawake asilimia kubwa wamekuwa hovyo hawajali familia wala malezi na Wana act ka ma slay queen Bora mtu ka hujali watoto usizae tu.
Kwa kifupi hapo wewe ni mwanamke na yeye ndo mwanaumeHabari wana JF!
Ebu wadau naombeni ushauri wenu. Nina mke na watoto wawili. Mke wangu ana changamoto moja hataki kupika na pia hajali watoto. Yaani tunaweza kukaa siku mbili tatu tunakula mikate na chai tu. Na yeye ni mama wa nyumbani sio kwamba ana shughuli kivile za kumkwamisha yeye kupika HAPANA.
Nikimwambia kwanini hapiki anadai sijaenda sokoni kununua vitu (asa nawaza si yeye ni jukumu lake kwenda sokoni) maana pesa za biashara tunazofanya ni yeye anashika kwahiyo sio kwamba haendi kwasababu hana pesa.
Kuhusu watoto ndio kabisa hawalishi wala hawaogeshi, na watoto ni wadogo chini ya miaka 5. Yaani watoto wasipojipambania wenyewe kula ndio basi hawali.
Kuna saa nakasirika kinoma lakini nakosa namna. NIFANYEJE
Vipi, tangu muda huo hadi leo, kabadilika?Habari wana JF!