Mke wangu atanilaumu Kweli?

Kigarama

JF-Expert Member
Apr 23, 2007
2,492
1,230
Naishi na Shemeji yangu ambaye ni mwanafunzi wa mwaka wa Kwanza chuo kikuu. Aka kabinti mara mbili nimekakuta chumbani kwangu kanatumia make up ya dada yake akiwa amekaa kwenye kitanda chetu? Jee itakuwaje kama nikimbanjua dada yake atanilaumu?

Mwenzenu moyo wa kuyashinda majaribu ndiyo sina kabisaaa!!
 
hahahahaha....sasa kwa nini umbanjue. mpe kalipio tuu kuwa sii ruhusa kuingia chuba kwa dada yake kutumia vipodozi!!!
 
Mwambie dadake amnunulie make up zake, hataingia tena chumbani kwenu... Huko ulikofika siko kabisaaa...tena mkemee huyo shetani mpaka ashindwe!
 
naishi na shemeji yangu ambaye ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza chuo kikuu. Aka kabinti mara mbili nimekakuta chumbani kwangu kanatumia make up ya dada yake akiwa amekaa kwenye kitanda chetu? Jee itakuwaje kama nikimbanjua dada yake atanilaumu?
Mwenzenu moyo wa kuyashinda majaribu ndiyo sina kabisaaa!!

ukisikia unataka kutengeneza bomu la nyuklia fanya hilo jambo, itakosa amani muda woote wa maisha yako hata kama mkeo hatagundua hilo jambo tena pale watakapokutana mtu na dada yake pamoja halafu wewe upo, ni dhambi itakayokutafuna maisha yako yote,na itakuumiza kisaikolojia, pia utakuwa unafanya uzinzi ambayo ni dhambi itakayokufanya uikose pepo. Hivyo tumia hekima zaidi kuliko kuongozwa na tamaa, acha tamaaa mbaya ndugu.
'' NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE''
 
ulafi mwingine bwana...angekuwa dadako anatumia za wifi yake na anakaa kitandani kwenu ungemtamani

hapo umempa kitu cha ukweli, ingekuwa ni mdogo wake wa kike anaingia chumani kutumia make up ya wifi yake angekuwa na wazo la kumtafuna kisa kaingia chumbani kwake?
 
Sasa we unangoja nini? Mi mwenzio nishakabanjua haka kabinti, maana dah! kalikaa kimitego mitego nimekavuta nikakapa kiss kakatulia nikamaliza mchezo...fanya kweli bwana usintie aibu
 
Kwa hiyo unaona kama kuja kwake chumbani kupaka makeup tayari kume kupa ruhusa ya kumtaka kimapenzi?
 
Kwa hiyo wewe mtoto wa kike akiingia chumbani kwenu akakaa kitandani tu unamtamani bila kujali mahusiano yenu! Angalia usije tamani kumbanjua bint yako akifata make up set za mama yake.
 
pheew wanaume...mdogo wa mke wako kweli nimesikia hasira ghafla nyie ndo mnatembea mpaka na watoto mliowazaa
 
pheew wanaume...mdogo wa mke wako kweli nimesikia hasira ghafla nyie ndo mnatembea mpaka na watoto mliowazaa

sasa wewe mtoto anakaa kihasara hasara wakati dadaye kasafiri mwezi wa pili sasa halafu mi nina ngale, we unafanya mchezo nini?
 
Sasa we unangoja nini? Mi mwenzio nishakabanjua haka kabinti, maana dah! kalikaa kimitego mitego nimekavuta nikakapa kiss kakatulia nikamaliza mchezo...fanya kweli bwana usintie aibu

Ushauri wa nguvu za giza tu, watu mnawaza ngono muda wote.
 
tamaa mbaya na kutaka kuvuruga koo za watu, unaona shida gani kumwambia mkeo amkanye shemeji mtu na kumnunulia make up zake? Au ndo nyie hata lotion ipo chumbani kwenu asbh kazima awagongee mlango kuimba. Mfundishe maadili mema eboo
 
yewomii na hizi lager naogopa kupewa ban ngoja nikalale unasemaje atii! Kwahiyo ni sawa mkeo kutembea na mdogo wako ukiwa haupo
sasa wewe mtoto anakaa kihasara hasara wakati dadaye kasafiri mwezi wa pili sasa halafu mi nina ngale, we unafanya mchezo nini?
 
Hebu refer kwanza kwenye signature yako hapo chini then tutakupa ushauri!

Back
Top Bottom