Mke wangu anataka kula tunda kila siku kutwa mara 2!

Looks like jamaa hawa ndo kwanza aidha wameoana au wameanza kuishi pamoja,eventualy ita wear off.
 
jamani kaka yangu pape!kila siku mara mke wangu hili mara mke wangu lile,mara mke kaweka kwakwakwa zake ktk gari yangu,mara nimambiwa nanuka kikwapa,mara nimekuta ndom zimetumika,mara mke anataka mbili bao kwa siku???
ni wewe huyu huyu au unawasaidia watu kupata ushauri kakaangu!
 
Heshima mbele wakuu,
Najua humu jamvini hakuna linaloshindikana! Mamsapu siku hizi anataka kula tunda bivu mara 2 kwa siku! Asubuhi tukiamka angalau kamoja na usiku kabla ya kulala angalau kamoja pia! Anadai kwamba inampunguzia 'stress na matamanio' awapo kazini! Hapa nilipo naugulia kiuno kinaniuma ile mbaya na hata naniliu nahisi kama vile inataka kukatika! Je, hali hii ikiendelea inaweza kuniletea madhara kiafya?

Mkuu acha hizo yaani hilo tatizo!!!? usinitie aibu bwana, hiyo dozi ni standard kabisa wala isikukere......unabahati sana wewe umeoa mke bora!!..
 
Heshima mbele wakuu,
Najua humu jamvini hakuna linaloshindikana! Mamsapu siku hizi anataka kula tunda bivu mara 2 kwa siku! Asubuhi tukiamka angalau kamoja na usiku kabla ya kulala angalau kamoja pia! Anadai kwamba inampunguzia 'stress na matamanio' awapo kazini! Hapa nilipo naugulia kiuno kinaniuma ile mbaya na hata naniliu nahisi kama vile inataka kukatika! Je, hali hii ikiendelea inaweza kuniletea madhara kiafya?

Uongo mtupu. Fabricated story
 
jamani kaka yangu pape!kila siku mara mke wangu hili mara mke wangu lile,mara mke kaweka kwakwakwa zake ktk gari yangu,mara nimambiwa nanuka kikwapa,mara nimekuta ndom zimetumika,mara mke anataka mbili bao kwa siku???
ni wewe huyu huyu au unawasaidia watu kupata ushauri kakaangu!

Huyu jamaa na mwenzake Sumbalawino ni wajuzi wa kutunga stori wala usiumize kichwa chako dadangu.
 
huyo ananifaa mie, mimi huwa nataka mara 2 kama yeye kwa siku lkn my wife anataka mara 2 kwa wiki, lkn simwambii i just caress and kumsifia sana jinsi alivyo umbika, anavyoyajua majamboz ah kwani inachukua muda basi mzee natafuna tunda hahahaa. mkuu mpe haki yake otherwise wajanja watakusaidia
 
Kamua mwana wane mpe haki yake wasije wakakugongea

Mmmh.....hii niki name yako imeniacha hoi. Mfunyukuzi..!! Maana kuna FUNYUKUA, FUNYUKULIWA, KUFUNYUKUANA, SANA MFUNYUKUZI NDIE ANAEFUNYUKUA SIO?

UFAFANUZI PLS IF U DNT MIND
 
jamani kaka yangu pape!kila siku mara mke wangu hili mara mke wangu lile,mara mke kaweka kwakwakwa zake ktk gari yangu,mara nimambiwa nanuka kikwapa,mara nimekuta ndom zimetumika,mara mke anataka mbili bao kwa siku???
ni wewe huyu huyu au unawasaidia watu kupata ushauri kakaangu!
Asante mama Cheu, hawa jamaa sijawaelewa manake mada zao nyingi ni hizi hizi, nadhani atakuwa anawaombea ushauri wengine.
 
Kamua kaka usije ibiwa ukaanza kutafuta mchawi kumbe mchawi ni wewe. Hilo linaonekana ni tatizo kwako mkuu. Jipe mapumziko kidogo japo siku tano,piga jogging ya nguvu mfululizo ndani ya siku hizo na uwe unakula karanga kwa kiasi kisho piga gemu uone matokeo yake.
Angalizo: Suala la jogging liwe endelevu.
 
Kaka acha kutuabisha yaani kupambazua tu na cha kulalia taabu utakua mgonjwa weweeeee.......Kandamiza tu kama huwezi sema tukusaidie wanaPUTIN
 
Heshima mbele wakuu,
Najua humu jamvini hakuna linaloshindikana! Mamsapu siku hizi anataka kula tunda bivu mara 2 kwa siku! Asubuhi tukiamka angalau kamoja na usiku kabla ya kulala angalau kamoja pia! Anadai kwamba inampunguzia 'stress na matamanio' awapo kazini! Hapa nilipo naugulia kiuno kinaniuma ile mbaya na hata naniliu nahisi kama vile inataka kukatika! Je, hali hii ikiendelea inaweza kuniletea madhara kiafya?

Nishamsikia Dk Ndodi anasema kuwa
Kila goli 1 unapoteza dk 3 za kuishi.
kila mechi moja- ni sawa na kutembea km 17 ukiwa umebeba kilo 10 mpka 35.
Na kama hutakula chakula sahihi cha kurudisha hizo nguvu basi ndo unajiua hivyo.

Too much of anything is harmfull.Hata Neno la Mungu linatuasa kuwa na kiasi.
Hebu jiulize swali,hivi kitokea umesafiri nje ya nchi kusoma hata kwa miezi 6 itakuwaje? huyo mkeo atakosa uvumilivu kabisa?
Hebu jaribu kutafuta suluhisho na anzia kwa wataalamu wa saikolojia.Linaweza kuwa ni tatizo la kisaikolojia zaidi.
 
Una bahati amekuambia wazi uhitaji wake na sababu za hitaji hilo. Wengine wanakupigia mahesab tu, anahakikisha anapata anachokitaka na usiulize kapata wapi. Ana akili sana mkeo, ni kweli hiyo kitu hupunguza ama kuondoa kabisa stress, halafu ukilala unapata usingizi mzuri wenye ndoto poa sana.

Kama unabisha ulizia wanawake jeuri maofisini kama wameolewa. Secretary fyongo ujue hana mume anategemea part timers tu ambao hawapatikani saa zote wanapohitajika. Ukiona mwanamke anachapa kazi kwa bidii na utulivu mwingi ujue jamaa nyumbani anawajibika ipasavyo. Ndoa sio kufuliana nguona kusongeana ugali, hata wanaume wanafanya hayo. Ndoa ni umiliki wa uwanja wa mchezo huo ambapo saa yoyote kipenga cha kuanza mchezo kinaweza kupulizwa, sio tu asubuhi na usiku. mbona tunayo milo mitatu kwa siku? Ilpaswa hata hiyo iwe ndio kishushia mlo kila baada ya kula.

Unaumia kwa sababu mentally you have not accepted your responsibility, unaona kitanda kama kituo cha polisi.Accept it psychologically na utaona mwili unavyojiweka tayari kwa kazi mpaka nawe unaipenda.
 
Heshima mbele wakuu,
Najua humu jamvini hakuna linaloshindikana! Mamsapu siku hizi anataka kula tunda bivu mara 2 kwa siku! Asubuhi tukiamka angalau kamoja na usiku kabla ya kulala angalau kamoja pia! Anadai kwamba inampunguzia 'stress na matamanio' awapo kazini! Hapa nilipo naugulia kiuno kinaniuma ile mbaya na hata naniliu nahisi kama vile inataka kukatika! Je, hali hii ikiendelea inaweza kuniletea madhara kiafya?

Pape najua utakuwa umemwandikia mtu hapa, we mpe pole tu. Inaonekana kaoa mke wa Rugaimutashoborwa. Ndo maana yeye analalamika anakuwa overworked wakati angeolewa na Rugaimuta angeonekana hatoshi labda wawe kama kumi hivi.

Mtafute humuhumu jamvini Rugaimuta atakupa Climax Express Manual, itakuonyesha kuwa ukiendesha ndege siyo kama baiskeli mara moja tu umetoka, donoa hapa na pale na pale, kisha hapa juu, halafu huku, peleka huku, acha kinyaa, weka bidii, tumia ufundi wote, kemia, fizikia, biolojia, hisabati, halafu sasa ndiyo ze game tena kiufundi hasa anaweza fika huyo kwenye kijiji cha mashtanamalati kileleni, ukashangaa asikudai mwezi mzima kwa jinsi alivyoshiba.

We unasema huyo anayedai mara mbili kuna waliokuwa wanadai mara arobaini lakini walipopewa Ze Game, walishiba wakasahau, akitoka hapo hana hamu, dozi ya mwezi mzima.

Ruga najua umo jamvini humu msaidie jamaa tafadhali.
 
we una bahati kweli mimi hapa napiga miezi sioni ndani hapa ninasema nishapiga mwezi na nusu bila ya goli hebu nitafutie nami kama huyo yaani nina usongo kweli,
 
uchokozi huo. unaanzishaje vangi??
Siyo uchokozi ndugu, vangi lenyewe linakuwa ni la kimahaba siyo la ngumi si unajua tena ili ufaidi vitu ni lazima ubembeleze na huu ndio ugonjwa mkubwa wa wanawake, hivyo najilia vitu kwa raha zangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom