Mke wangu anasumbuliwa na chunusi za uso

Sulphur powder ndio kibiriti upele????
Labda nieleze Kibiriti Upele ni nini?! Ndio naambiwa na wewe Kibiriti Upele, sijawahi kuskia wala kuona.

Sulphur Powder ni Solid State unga fulani hivi umetokea mara nyingi katika kemia elimu ya vitendo shule za sekondari unamuonekano wa rangi ya Aqua lakini mtaala na waalimu hudanganya ni rangi ya kijani.
 
Ni unga/chenga flani hivi, zina rangi kama njano, mara nyingi zinauzwa na wale wanaouza sumu za panya n.k
 
Hapana Ni usoni tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa kama ni usoni tu, atumie hizi dawa za kupaka kama persol gel, gentrosome au cream yeyote yenye benzoyl, lkn kama zitashindwa kumsaidia basi atumie dawa za kumeza ambazo ndo soln ya kudumu, dawa hizo ni isostretinoin na dox kila siku kidonge kimoja kwa Muda wa miezi 6 mfululizo bila kukatisha siku hata moja!!
 
Habarini Wana Jf

Mke wangu anasumbuliwa na chunusi za uso zisizoisha ametumia lotion nyingi bila mafanikio naomba mnishauri atumie nini?
Ana kunywa soda sana? Kama anakunywa mwambie aache.

Anywe maji kwa wingi na afanye mazoezi japo kutembea.

Aoshe uso mara kwa mara kwa maji na sabuni, na hasipake mafuta usoni.
 
Nilipokuwa shule nilikuwa nanyoa, naosha nywele lakini nilikuwa na chunusi za hatari.

Achana na hizi dawa wanazo kuambia zinaondoa chunusi hakuna dawa ya chunusi mwambie anyoe hizo nywele na awe anatumia sabuni za kawaida hizo m'bwa ndiyo zinazo mletea chunusi usoni
 
Back
Top Bottom