Black BackUp
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 685
- 622
Habari zenu wadau wa JF
Mimi ni kijana niliye ndani ya ndoa miaka mitatu(3)sasa na tumefanikiwa kupata mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 2 mungu ni mwema sana.
Nijiongelee upande wangu kiukweli nampenda sana mke wangu hua najitahidi kumtimizia yale ya msingi ambayo kila mwanamke wa kiafrika/Tanzania anahitaji kutimiziwa (Mavazi, chakula, makazi) na mengine mengi bima ya afya n.k.
Kwa upande wake naona ananipenda tu maana sijaona kama kuna tofauti yoyote kati yake na yangu.
Changamoto inakuja katika SEX/ Mapenzi sijisifii hua nikipanda juu sambamba na style/mikao mengine mke wangu anafika kileleni mpaka anaishiwa nguvu inafika wakati namuonea huruma nahisi ntampoteza mke wangu ilihali mimi bado nahitaji kufanya hii inepelekea hata nipunguze siku za kua tunafanya mapenzi/Sex siku tukifanya bado hali ni ile ile. Kiukweli sijafikiria kuchepuka kabisaa ndo mana nikaamua kuweka uzi huu hapa jukwaani nipate mawili matatu kutoka kwa wataalam/maexpati/wakongwe maana humu ndani kuna wajuzi waliobobea katika idara nyingi mbalimbali.
kwa upole kabisaa niikabidhi mada hii mikononi mwenu Wadau kwa ajiri ya maoni/ushauri
Karibuni sana