Mke wangu ananitesa na kuninyanyasa sina raha na ndoa sijui nifanyaje

Dah aisee pole sana maana mpaka nimekuonea huruma. Nachoweza kukushauri ni kwamba huyo mwanamke hakufai,pamoja na kwamba mie ni mkiristo na najua according to the Bible Mungu anachukia sana kuachana ila hiyo ya kwako sio ndoa. Kuvumilia kwa shida na raha sio hivo.shida ni kama dhiki,ugonjwa lakin sio vitu ambavyo vinaepukika kama hivo.kapime DNA ujue kama ni watoto wako then tengana nae kama kwel ni mkeo atakutafuta ila kama mwanamke tu anaejifichia kwako kama mme wala hutamuona tena. Kbala ya haya yote mwende kwa viongozi wa dini na wazaz ikishindikna mwache!!!Ndoa bila tendo la ndoa sio Ndoa ebo!!
 
Back
Top Bottom