Mke wangu ananitesa na kuninyanyasa sina raha na ndoa sijui nifanyaje

ulishamnjengea mazingira ya kutoweza kumpiga hadi yeye anaamua kukupiga
simama kama mwanamume uone atafanyaje,order nyingi anza kumpa wewe,then ona utafanyaje
 
wewe ni she au he? Maana siku hizi kuna ndoa za lesbians na gays!
Nifahamishe kabla sijakupa ushauri.
Wana JF...

Naandika huku nafsi yangu ikiwa na majonzi makubwa.

Mke wangu wa ndoa tuna miaka 8 toka tufunge ndoa, tumejaliwa kupata watoto 2 mapacha wa kiume na kike.

Lakini taingia mwaka juzi kabadilika kaanza vituko nyumbani, sio kawaida yake ananipiga na vitu bila sababu.

Kaenda mbali zaidi ananiambia lazima nikitoka kazini niwahi kufika nyumbani nikae na watoto yeye yupo bize..

Kanilizimisha nimjengee nyumba kwao Same nimemjengea nyumba kubwa tu lakini hana shukurani..

Tendo la ndoa napewa mara moja kwa mwezi nikihoji napigwa na mwiko..

Kila baada ya wiki anasema anasafiri anakwenda kwenye semina nibaki na watoto.

Ndugu zangu nisaidieni nifanyeje??
 
Kupigwa?? Nawe umetulia tu??? Halafu unamuita mke kabisa?? Aah salalaaa......! Uliumbwa nae huyo mkiwa mmewekewa supa glue hata uvumilie mateso yote hayo?? Wan'chekesha!!!!

Sasa tafanyaje na mke wangu nampenda ebu nishauri nifanyaje?
 
wewe ni she au he? Maana siku hizi kuna ndoa za lesbians na gays!
Nifahamishe kabla sijakupa ushauri.

Unauliza swali gani wakati nimekwambia mke wangu? Au wewe ni moja wao hao gays? Siitaji ushauri kutoka kwa watu kama nyie
 
1.usifanye kile unachodhani kitamuudhi na kukupiga,kisha man up na wewe akikupiga pigana mpaka atie adabu atiiii

2,tendo la ndoa la msimu inawezekana kuna mtu anamkuna,chunguza.......

3,kama bado unampenda,tafuta suluhu kwa kuongea na wazazi au watu unaowaheshimu....

4,tafuta nyumba ndogo isiyo na gharama,usimuulize kitu chochote mkeo,yeye kama ana akili atasense mabadiliko...na hivi ushamjengea kwao naona atatia jeuri,achana naye waone ustawi wa jamii na baadae mahakama ambayo itawatenganisha na kugawanisha mali mlizochuma nusu kwa nusu,mkishatengana wewe nenda kaipromote nyumba ndogo iwe kubwa ilaa angalia usifanye tena uzuzu wa kuijengea kwao

5,anza gym beba vyuma mwili wako ujengeke na uwe na stamina ya kupigana-hii itakupa confidence hata akikupiga utajidefence vizuri,na asikwambie mgtu ukimpiga mara moja tu kisawasawa huyo ataanza kukuheshimu/kukuogopa.
 
Kaka kuondoka kwenye nymba mwanaume aibu akimbii kamamna chumba cha kuwekea nguo hamia huko alafu usiku mwambie hata dada zako wawe wanakupigia alafu unaonesha hisia za mapenzi weeeeeeeeeeeeeee
nakwambai nilishawahi kumpa hii mtu akamfundisha adabu mkewe ..kuna kajamaa kalikuwa kanampa safari za mfululizo na kumchapa akirudi hana hata hamu na mumewe nkamwambia lala mgongo wa nne ikifika wiki mko hivyo hivyo ama chumba alafu jifungie alilala vile siku 4 ya sita akamwita ama tuyamalize ama niondoke akapiga nkamwambia mwambie huna jibu na usirudi kitandani mwenu ...dawa ya inzi uchafu bana
 
unauliza swali gani wakati nimekwambia mke wangu? Au wewe ni moja wao hao gays? Siitaji ushauri kutoka kwa watu kama nyie

mpwa hata usingijibu ukiona hivyo ujue boga hilo linatafuta mkunaji
ajiulize mtoto umezaaje kabla ya kuulza hivyo...mpwa kama uko chini ya miaka 75 usikubali hata aje bure wachafu hao na laanza zao
usiku mwema
shukrani kwa barca
 
Jamani mke wangu amerudi kalewa akiniona naandika humu JF ataleta fujo kesho ndugu zangu nashukuru sana kwa ushauri wenu
 
Wana JF...

Naandika huku nafsi yangu ikiwa na majonzi makubwa.

Mke wangu wa ndoa tuna miaka 8 toka tufunge ndoa, tumejaliwa kupata watoto 2 mapacha wa kiume na kike.

Lakini taingia mwaka juzi kabadilika kaanza vituko nyumbani, sio kawaida yake ananipiga na vitu bila sababu.

Kaenda mbali zaidi ananiambia lazima nikitoka kazini niwahi kufika nyumbani nikae na watoto yeye yupo bize..

Kanilizimisha nimjengee nyumba kwao Same nimemjengea nyumba kubwa tu lakini hana shukurani..

Tendo la ndoa napewa mara moja kwa mwezi nikihoji napigwa na mwiko..

Kila baada ya wiki anasema anasafiri anakwenda kwenye semina nibaki na watoto.

Ndugu zangu nisaidieni nifanyeje??
haya yameanza mwaka juzi..?? mda wote huo ulishawahi chukua hatua yoyote hata ya kuongea na watu wakaribu mnaowaheshimu...!!?
 
Hivi ni kweli kuna limbwata ya kumfanya mtu kuwa mume *****?? Kama ndio basi huyu ni mwathirika...duh pole mkuu
Hakuna limbwata mtu akawekewa then akajijua kuwa ananyanyaswa,huyu jamaa kaamua kuwa na maisha ya kunyanyaswa, km hataki ampe kipigo siku moja aone km hyo dada hajabadilika. Anamwendekeza tu na kutudhalilisha wanaume,hivi kuna mwanaume anaeweza kunyanyasika kwa kiwango hiki hata km kuna limbwata????? mh kazi ipo................
 
ukisoma maandiko matakatifu yanasema mwanaume atakuwa kichwa cha familia! Sasa kama unaruhusu kupigwa na mwanamke wako ujue unatenda dhambi ambayo hata shetani hawezi kukubaliana nawe. hii ni aibu ya kufungia mwaka wa 2011, siku ningine usipost upuuzi kama huu kuaibisha responsibe men
Unauliza swali gani wakati nimekwambia mke wangu? Au wewe ni moja wao hao gays? Siitaji ushauri kutoka kwa watu kama nyie
 
Back
Top Bottom