Mke wangu ananinyima uroda! Nifanyeje?

Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,488
79
Imenukuliwa kutoka katika utafiti wa 'saidia jamii'....
*****************************************************************

Mimi na mke wangu tumekuwa katika ndoa yapata miaka mi 3 sasa! Hali ilikuwa ni nzuri kwani tulikiuwa tunakula tunda kila siku angalau asubuhi kamoja na jioni kabla ya kulala kamoja!

Siku hizi hali imebadilika kwani hataki tena na huwa naboreka sana pale anaponijibu eti "nasikia usingizi, tutafanya asubuhi (lakini asubuhi ikifika oooh ngoja nifanye usafi, mara kwanza watoto niwaandalie chai) mpaka siku inapita! Mara ooh nimechoka, sina hamu, sijisikii kufanya, wewe unataka kila siku, kwani umesikia hii ni pipi? etc"...

Roho inaniuma sana mpaka nimeamua kumwangalia tu kwani najua nikimuomba tunda la roho nitapewa majibu na sababu hizo hapo juu na mwisho wake tuanze kugombana bure...

Mimi sasa hivi 'feelings' zinanisumbua sana na sijawahi kutembea nnje ya ndoa ila kwa tabia yake hiyo nashawishika kwenda nnje kitu ambacho nadhani sio kizuri!

Je, bora tuendelee kuishi kama kaka na dada? au nitafute 'kajumba' kadogo huko nnje niwe napunguza taratibu?

Je, nikitoka nnje ya ndoa nitakuwa nimemkosea mke wangu? Nifanyeje ili niweze kumshawishi mwandani wangu ili tuwe tunakula tunda kama zamani?


@Mchango wako unahitajika (true story)!
 
ni pm nitakupa ushauri, nitamfunda atafundika, usihofu Pape, mimi ni mtaalam kwa wanawake wenye tabia kama hizo
 
Mimi na mke wangu tumekuwa katika ndoa yapata miaka mi 3 sasa! Hali ilikuwa ni nzuri kwani tulikiuwa tunakula tunda kila siku angalau asubuhi kamoja na jioni kabla ya kulala kamoja!

@Mchango wako unahitajika (true story)!

My God? kila siku twice....!!!!!!????????? kwa mwaka mara 730. kwa miaka mitatu 2190.
You must be in Guiness Book of Records!
anyway, mtoe out, ongea naye kwa upendo, she will tell you the reason, it could be ni mambo za watoto, anakuwa buzy mno kimwili na kiakili kiasi anakusahau msee.
 
Hii uliyokuja ibandika hapa icopy uende ukaipaste kwa mkeo- mweleze yote kwa upole mwambie 'feelings' zinakutesa na unapata mawazo ya kutoka nje ya muungano wenu. Asipokusikiliza katika hili waeleze wazee ikishindikana then

atakuwa ameikaribisha mwenyewe nyumba ndogo.


But am sure na yeye anazo sababu za msingi tu za kwa nini hali si kama zamani
 
Pole sana hicho ni kipindi cha mpito tu kuna mambo yanayomsumbua mkeo hata kupelekea kukosa hamu ya tendo la ndoa
Kaeni chini muongee kwa utaratibu na imani atakuelewa na mtaanzia hapo
 
TAFUTA SMOLI HAUSI,
MKUU, THATS GUD SOLUTION.

kwanini ujipe mipresha ya bure bana????,
DUMISHA MILA.
 
Back
Top Bottom