Mke wangu analia sana wakati wa tendo

Hivi wakuu, mke wangu kulia sana mpaka majirani wanatoka kutusikiliza usiku nifanyeje yani analia sana. Anakuwa kama namjeruhi vile hata sielewi kabisa.

Mpaka mizuka huwa inaniishia kabisa natamani kushuka halafu nikishuka anaanza kucheka sasa unakaa unajiuliza naumivu gani hayo wakati muda huohuo anacheka muda huohuo analia.

Ushauri wenu wakuu maana napata aibu kweli asubuhi ninapokuwa natoka nje kwenda job watu wakiwa wamekaa nje.

Unaibiwa! Na anakuzuga tu ! Fanya utafiti utagundua . Usije kuta kuna jirani anakutafunia kwa hiyo huko kupiga kelele ni mawasiliano.:D:D:D:D.
 
ulitakiwa ukae chini na mkeo muongee sasa unakuja hapa kuomba ushaur mkeo umemwambia?
 
huku ndio sehemu yake,,hyo uzi!,,,we cha kufanya ongeza saut ya sabufa mpaka mwisho na bass yake halafu uone kama atashndana na sabufa
 
Hivi wakuu, mke wangu kulia sana mpaka majirani wanatoka kutusikiliza usiku nifanyeje yani analia sana. Anakuwa kama namjeruhi vile hata sielewi kabisa.

Mpaka mizuka huwa inaniishia kabisa natamani kushuka halafu nikishuka anaanza kucheka sasa unakaa unajiuliza naumivu gani hayo wakati muda huohuo anacheka muda huohuo analia.

Ushauri wenu wakuu maana napata aibu kweli asubuhi ninapokuwa natoka nje kwenda job watu wakiwa wamekaa nje.
Mambo ya ndani hayo muelekeze taratibu mkeo usichopenda atakuelewa tu
 
Huyo ana mapepo ya kwao kwani walifanya kumlazimisha kuolewa nawe, wakati alitakiwa awe mganga wa kienyeji. Mpeleke kwa Mch. Rwakatare akaombewe ama mrudishe kwao!
 
yaani demu anayelia ndo mwenyewe, akilia na ww unaongeza speed na majonjo! yaani utamu mpaka kisogoni
 
Hivi wakuu, mke wangu kulia sana mpaka majirani wanatoka kutusikiliza usiku nifanyeje yani analia sana. Anakuwa kama namjeruhi vile hata sielewi kabisa.

Mpaka mizuka huwa inaniishia kabisa natamani kushuka halafu nikishuka anaanza kucheka sasa unakaa unajiuliza naumivu gani hayo wakati muda huohuo anacheka muda huohuo analia.

Ushauri wenu wakuu maana napata aibu kweli asubuhi ninapokuwa natoka nje kwenda job watu wakiwa wamekaa nje.
Pengine huwa unamuumiza maana mwanamke anaayepata raha ya mapenzi huwa haliii bali ana........, watamalizia wengine
 
Back
Top Bottom