Mke wangu ana uvimbe kwenye ovari (ovarian complex cyst)

Wataalam habari za asubuhi?

Naomba msaada wa elimu katika hili.

Baada ya kuishi na mke kwa muda kwa mwaka mmoja na miezi saba bila kupata hata dalili yoyote ya mimba, nikaamua kwenda hospital moja yenye huduma bora na za uhakika ili kupata majibu ya uhakika juu ya tatizo linalosumbua.

Vipimo vyangu vilionesha hakuna shida yoyote, lakini kwa upande wa wife tukaambiwa ana Rt. Ovarian Complex Cyst, Hemorrhagic Cyst (55.4×49.2mm).

Tukaambiwa tiba yake ni oparesheni kubwa kuondoa uvimbe huo. Tulibaha hadi kushindwa kuuliza maswali ya msingi tukaaga kwamba tukajipange kwanza tutarudi kwa operation hiyo.

Hapa nilipo kichwa hakipo sawa kabisa.

Je, operation ya namna hiyo huwa kizazi kinabaki au kinaondoshwa kabisa?

Hata kizazi kikibaki kwa hali hiyo anaweza kupata mimba/kuzaa?

Tatizo hilo haliwezi kujirudia tena?

Side effects za operation ya namna hiyo ni zipi?

Hakuna tiba mbadala?

Naombeni elimu mujarabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mm niliwahi kuwa na ttz km ilo but njia pekee ni operation maana huwa unakuwa kuwa mkubwa pia complicatin zitakuwepo km kuover bleeding na kupungikiwa damu ... kwa upande wa operation wanatoa uvimbe ambao upo kwny mayai so kizazi kitakuwa safe ....
 
Umefanyiwa operation ktk hospitali gani mkuu?
 
mm niliwahi kuwa na ttz km ilo but njia pekee ni operation maana huwa unakuwa kuwa mkubwa pia complicatin zitakuwepo km kuover bleeding na kupungikiwa damu ... kwa upande wa operation wanatoa uvimbe ambao upo kwny mayai so kizazi kitakuwa safe ....
Ubarikiwe sana mkuu.

Vipi je uzazi baada ya operation unawezekana?
 
Kwa ukubwa huo bora mkubali
Kufanyiwa upasuaji utolewe.

Na atazaa vizuri baada ya matibabu mradi kupata daktari sahihi na makini.

Mungu ni mwema atawafanyia wepesi na salama.
Asante kwa ushauri mkuu.

Ndo najiandaa kwa zoezi hilo.
 
Wataalam habari za asubuhi?

Naomba msaada wa elimu katika hili.

Baada ya kuishi na mke kwa muda kwa mwaka mmoja na miezi saba bila kupata hata dalili yoyote ya mimba, nikaamua kwenda hospital moja yenye huduma bora na za uhakika ili kupata majibu ya uhakika juu ya tatizo linalosumbua.

Vipimo vyangu vilionesha hakuna shida yoyote, lakini kwa upande wa wife tukaambiwa ana Rt. Ovarian Complex Cyst, Hemorrhagic Cyst (55.4×49.2mm).

Tukaambiwa tiba yake ni oparesheni kubwa kuondoa uvimbe huo. Tulibaha hadi kushindwa kuuliza maswali ya msingi tukaaga kwamba tukajipange kwanza tutarudi kwa operation hiyo.

Hapa nilipo kichwa hakipo sawa kabisa.

Je, operation ya namna hiyo huwa kizazi kinabaki au kinaondoshwa kabisa?

Hata kizazi kikibaki kwa hali hiyo anaweza kupata mimba/kuzaa?

Tatizo hilo haliwezi kujirudia tena?

Side effects za operation ya namna hiyo ni zipi?

Hakuna tiba mbadala?

Naombeni elimu mujarabu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Pole kwa kuuguza.
Tiba katika mgonjwa wa nanma hii huitaji vitu vingi kuamua.

Ila inaweza kufanywa kwa:
1: Dawa/conservative
2: Upasuaji

Hii itategemeana na:
1: Hali ya mgonjwa
2: Experience ya daktari
3: Magonjwa mengine yanayoandamana hilo
4: Uhitaji wa mgonjwa
5: Size ya uvimbe/kwa hiyo ya mkeo ni ndogo. Maana cm 10 ndio huusishwa na upasuaji moja kwa moja.
6: Kama utahitaji kuingia kwa upasuaji, ni vizuri kufanya MRI ili kuwa na uhakika unapoenda ndani unadili na kitu gani.
7: Tiba ni makubaliano baada ya mgonjwa kuelekezwa nini kinamsibu na njia tofauti zitakuwa na matatizo au faida gani kwa mgonjwa husika.

Kama mkeo hayuko kwenye hatari yoyote, kwa jinsi ulivyoelezwa, ni vyema kupata ushauri kwa daktari bingwa wa magonjwa ya akina mama juu ya njia njema.

LAKINI:
1: Upasuaji huu hauna tatizo kwenye uoatikanai wa mimba zijazo kama ovari ya pili iko sawa, hata kama itahusisha kuondoa ovari au la. Kwani ovari ya pili itaweza kufanya kazi vyema.

2: Suala la kujirudia, ni kama matatizo mengine yoyote ya kiafya. Linaweza kujirudia na wala hakuna kitu cha kufanya ili kuzuia hilo.
 
Wataalam habari za asubuhi?

Naomba msaada wa elimu katika hili.

Baada ya kuishi na mke kwa muda kwa mwaka mmoja na miezi saba bila kupata hata dalili yoyote ya mimba, nikaamua kwenda hospital moja yenye huduma bora na za uhakika ili kupata majibu ya uhakika juu ya tatizo linalosumbua.

Vipimo vyangu vilionesha hakuna shida yoyote, lakini kwa upande wa wife tukaambiwa ana Rt. Ovarian Complex Cyst, Hemorrhagic Cyst (55.4×49.2mm).

Tukaambiwa tiba yake ni oparesheni kubwa kuondoa uvimbe huo. Tulibaha hadi kushindwa kuuliza maswali ya msingi tukaaga kwamba tukajipange kwanza tutarudi kwa operation hiyo.

Hapa nilipo kichwa hakipo sawa kabisa.

Je, operation ya namna hiyo huwa kizazi kinabaki au kinaondoshwa kabisa?

Hata kizazi kikibaki kwa hali hiyo anaweza kupata mimba/kuzaa?

Tatizo hilo haliwezi kujirudia tena?

Side effects za operation ya namna hiyo ni zipi?

Hakuna tiba mbadala?

Naombeni elimu mujarabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hospitali nzuri za haya mambo ya uzazi ni Kairuki Hospital, Jitahd sana uende mapema otherwise kadri unavyochelewa ndo tatizo linazid kuwa kubwa na pengine kupelekea kutopata mtoto kabisa.Jitahd uwezavyo ufanye mapema sana
 
Anapatikana wapi mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nenda hospitali acha hz mambo za mitishamba,nakwambia hv kwa sababu kuna dada namjua alishauriwa aende kwa ajili ya kuondoa uvimbe akahamia kwenye mitishamba,kurudi hospitali wakamwambia chance ya kumsaidia tena haipo sababu mirija ilishaziba completely-Ni huzuni asikwambie mtu.Ikibd fika kairuki tafuta ma super specialist pale
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom