Mke wangu ana ujauzito wa mwezi mmoja, mchepuko ana ujauzito wa miezi mitatu

Nina mwanangu nimegraduate nae,yaani tuna maliza chuo mtaani katia mimba tatu na wote walijifungua salama.
Kuna mwamba mmoja, yeye alizaa na wadada wanne, mmoja Mwezi wa Saba, wawili watoto wamezaliwa siku moja mwezi wa nane.

Wa mwisho akazaliwa mwezi wa Kumi.
 
Muwe mnakunywa dawa za kuzuia mimba kabisa na nyie sio jukumu la mwanamke tu
Hilo ni jukumu la mwanamke kama vile lilivyojukumu lake kubeba mimba. Hapana hapa kukwepa majukumu. Jukumu la wanaume ni kutunza familia basi
 
Kuna mwamba mmoja, yeye alizaa na wadada wanne, mmoja Mwezi wa Saba, wawili watoto wamezaliwa siku moja mwezi wa nane.

Wa mwisho akazaliwa mwezi wa Kumi.

Halafu unakuta hawezi kuwanunulia hao watoto hata diaper
Hapo ndio utagundua tofauti ya mwanauume na mwanaume🤣🤣🤣
 
Hilo ni jukumu la mwanamke kama vile lilivyojukumu lake kubeba mimba. Hapana hapa kukwepa majukumu. Jukumu la wanaume ni kutunza familia basi

Basi mtunze na sio kutoa 60 eti mwezi jamani jamani
 
Elfu 60 kwa mwezi, mwenyewe nishapelekwa ustawi nikaambiwa hivyo.

Ukiona baba wa mtoto anajivunia kulea mtoto kwa kutumia waraka wa elfu60 jua hamna mwanaume hapo

Huyo ni binadamu mwenye uume tuu

Wanaume wenye uwanaume kama hawako sawa financially hata nguvu za kutia mimba huwa hawana. Ila wale wavulana sasa🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Wakuu
Jamaa angu kaniaomba ushauri hapa,ana mchepuko wake una mimba ya miezi mitatu na wife wake nae leo kamwambia ana mimba ya mwezi mmoja.
Yeye amepanga kuwaambia wote watoe hizo mimba.
Me nimemshauri amuache wife wake azae ila mchepuko utoe tu.
Nyie mnampa ushauri gani huyu raia?
Kutoa mimba ni kosa la jinai wewe na rafiki yako mkono wa sheria utawahusu
 
atoe hizo mimba kwani hao watoto wamewakosea nini wakati ni wao na starehe zao ndio wameleta hayo matokeo??

alee tu akiona maji ya shingo yanazidi amuhadithie mkewe
Kwani wakati anachepuka condomu hakuziona
 
Na ukiona mwanaume anashika mimba bila ya ridhaa ya mwanuame jua hamna mwanamke hapo

Kwa nafasi ya mwanaume aliyonayo na ile ya mwanamke wanaume walipewa na wana uwezo na akili za kumanage mahusiano. Hii ya kusema mwanamke akishika mimba hana akili ni matokeo ya mwanaume kukosa akili

Unadhani Mungu alipomwambia mwanaume aishi na mwanamke kwa akili alikosea!? Au ndio wanaume hamtaki hilo jukumu

1 Petro 3:7
Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili;
na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu

Mithali 6: 32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake
 
Yaani umeongea bonge la point. Kwa hiyo tuishi na wake zetu kwa akili sio vimada au wadangaji.

Kweli wanaume tunao zini na wanawake hatuna akili kabisa which means wanawake nao wanao zaa na mwanaume huyo wasitegemee mazuri maana wamekubali kuzaa na mwanaume ambaye hana akili.

Two wrongs dont make a right.
 
Back
Top Bottom